Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

khaaaa asa mbona wengine tuna na EX wengi ambao ni mifano
 
ulichosema n kweli,x wangu ndiye mke sasa baada ya kutengana kwa mk 10,tuliopoonana tu uzalendo ukatushinda, sirisiri hatmaye kl 1 akavunja ndoa yake
 
ulichosema n kweli,x wangu ndiye mke sasa baada ya kutengana kwa mk 10,tuliopoonana tu uzalendo ukatushinda, sirisiri hatmaye kl 1 akavunja ndoa yake


Duuu this is amazing !!!!!
 
Anold aka Palmer, kaiba idea hii na kuipeleka tena kule. Anakera.
 
Mimi nimependa tu sentensi moja.......
SIO KILA EX NI EXPIRED.......basi.....
 
ni EXPIRED tu....hata Ex afanye nini, mwisho wa siku ngoma itarudi nyumbani na nitaicheza nitakavyo..yeye hata akicheza atacheza kwa hofu...

kama anapendwa kweli, kwanini aliachwa (in the first place) au kwanini nisiachwe mimi achukue yeye???
 
True 100%sijawahi kuona kaburi la mapenzi, ni sawa na mtalaka hatongozwi just kuvuta tu unatumia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom