Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

Sio Kila Ex Ni Expired, Ex zingine ni Example

Hosee Miguel

Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
59
Reaction score
38
WanaJamvi nimeikuta pahala hii nami naileta kama ilivyo NO EDITING, NO ADDITION, NO OMMISSION....

Sio kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE: Utanielewa tu...

Ulimwengu huu tunaoishi muogope sana mpenzi wa zamani wa mkeo kabla HUJAMUOA na muogope sana x wa mmeo kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa vidume na vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete, i will tell you WHY!

Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA kutokana na situations fulani mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera ambazo 'wanawake wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo'.

Kidemokrasia tu aolewe na wewe, it doesnt matter how lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa, ukamhamisha mkoa wasionane, ukambadilishia namba za simu wasiwasiliane tena.

Itapita miaka hata 6 hawajatiana machoni ipo siku PAAAP, watakutana kariakoo kwenye shopping, zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya, na kifuatacho ITV kitakuwa Isidingo.

Mapenzi yao hayakufa pete haizuii kitu watajikuta tena kwa huba zito la kumisiana kwa hali ya juu, wewe ukidhani pete pekee itamlinda, kumbe waapiii, na huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga, wewe umeoa kwa Mahari mwenzio anapiga Bureee bila Mshenga.


Kama nadanganya wanandoa waje na waseme hapahapa ndoa ni complicated kuliko hesabu za logarithm na integration. Ndoa ni fumbo na walioweza kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa Mungu.

Ila wengi wanadhani wamelifumbua fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo, ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu otherwise "UTAOLEA KIJIJI"
 
images
 
Daaah aisee, hizi fact nyingine zinakatishaje tamaa...huu ni ukweli unaoumiza. Ukianza kusikia baby wako anawasiliana na x wake eti salamu tu pia ujue mambo ya kupasha viporo coming soon...
 
we jamaa eti kifuatacho ITV ni isidingo kwi kwi
 
Unadhani ni sifa hiyo?

Ni kweli tuuuupppuuuu! Hakikisha unaemuoa anakupenda kwelikweli na unajitahidi kumridhisha lakin ukiwa unakibamia na unapga mbio fupi wakati so called EX ana dushe la ukweli na anajua kukimbia mbio ndefu basi laaah jua umeumia... hamwachi asilani.....Hata kama ningekua mm!!
 
Ni kweli tuuuupppuuuu! Hakikisha unaemuoa anakupenda kwelikweli na unajitahidi kumridhisha lakin ukiwa unakibamia na unapga mbio fupi wakati so called EX ana dushe la ukweli na anajua kukimbia mbio ndefu basi laaah jua umeumia... hamwachi asilani.....Hata kama ningekua mm!!

Jifanye unajua sana kufikisha wake wa wenzio kileleni siku uhamishiwe kikojoleo usoni
 
Wanaume wengi hujisahau sana wakishaoa, wanakua busy na kusaka noti na kuhakikisha nyumbani hakipungui kitu, wanasahau about emotional needs of their wives which is the base of their marriages! Jaman waume wapenden wake zenu, jitahidin kuwaonyesha huba, na pia linapofika swala la ile shughuli ya ktandani basi wekeni ustaarabu pembeni jiachieni!!! Mume yuko na mkewe chumban anajileeegeeeza et nimechoka kazin, mara anatia ustaarabuuu anashindwa hata kuichezea sambusa ya mkewe vzuri eti aahh ntakua namdhalilisha mke wangu, ni kutumbukiza tu then ndani nje ndani nje ooohh asante!!!! Sh**zi.....kwann mkeo asimfuate EX wake akamgeuze geuze, akatindue kuta zotee!!!
 
Ha ha ha ha.ila n kweli buana.koh koh koh koh nmeipenda hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom