suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Bora uwaambiekumuogopa x wake et atakutana nae sijui wakumbushie. ni ujinga kunamengi ya kufikiria kwenye familia, hebu acha kuwaweka wana ndoa roho juu.
Kama waliamua kuachanA iwe kwa shar au kwa ustaarabu bas hayo yalishapita huwez kwenda mbele kama bado unasoma chapter za nyuma.