Unajua ninapenda kufikia hatua kama hiyo ya kuwa mwili mmoja lakini daaaahh!Kumpata mtu sahihi katika kizazi hiki ndipo ninapoumia kichwa.Yaani kama nitampata mtu sahihi naingia nae mkataba baada ya kufanya feasibility study.Ila ninaamini hata hapa hapa JF naweza pata mtu vile!
Hata hivyo hongera Sinkala kwa kufungua ukurasa mpya,bado ni natafakari kama vp nafikiri tunaweza kuwa pamoja siku hiyo ya tukio.