Umeona ee!hata anayeleta bandiko anaweza kuwa singo faza ov 3 kids hahahaha chezea waanaume wee
Umeona ee!hata anayeleta bandiko anaweza kuwa singo faza ov 3 kids hahahaha chezea waanaume wee
MagumumashiUmeona ee!
una dada wa ngapi katika familia yako?single mother wa nini wewe bwana?!! yaani papuchi zilizojaa hapa duniani kote umekosa mpaka uende kwa single mother
Tumekusoma single mother!
Hehee mkuu! Nitake radhi!
Nilishaapa no marriage no child! Nilishaweka agano na Mungu na ndivyo itakavyokuwa!
Yaani hapa no kuolewa sijui na tumbo cjui kuzaa kwanza!
una dada wa ngapi katika familia yako?
kila kiumbe kina tabia zake singo mothers my foots hapo single mother anahusikaje!!!!? hebu elezea uhusiano wa single mother na hili bandiko lako tafazali
ningeridhika sana maana hata mie nina mahusiano na sigo mother asije kunibadilishia gia nikaumwa
ngoja nikuangalie kwenye kioo changuUnanifananishaa? Ha ha haaa!
Na nani??
nimekupa like mkuu umionaKwa jinsi wanaume wanavyoukandia usingle mother nashangaa kuona mabinti wanaendelea kujizalia tu kila kukicha. Kuna mdada mmoja nilitaka kumuoa miaka kama minne iliyopita akanikatalia kata kata eti hataki kuolewa bora ajizalie maana wanaume hawafai. Baada ya kuzalishwa last year ameanza kunitafuta ati ndo wakati wake muafaka wa kuolewa. Nilipiga chini nikamblock shenzy type ulipokuwa hujazaa unaniona sifai umezalishwa ndo unaniona wa maana. Wadada acheni kudanganyika hakuna mwanaume anapenda kuoa single mother ni bora kuoa mjane siyo single mother.
single mother wa nini wewe bwana?!! yaani papuchi zilizojaa hapa duniani kote umekosa mpaka uende kwa single mother
wee sii ulisema ulishaolewa wewe?
Unahisi unatakiwa ujue kila kitu changu mkuu?
Acha kupoteza muda na hizo used spare bhana mbona wanawake wapo wazuri tu tatizo letu mwanaume tunapenda mtelemko, uwez jua jamaa aliyemzalisha alipatwa na maswaibu gan inawezekana alikuwa Ana mgegeda vizur sema tu mipango haikwenda Sawa
"Sahan mtu aliyowahi kutumia hawez kuipiga teke" so tafuta chako Kaka
Kama hauna dada basi omba mungu asijekupa watoto wa kike. Maana daah! Kwa kiapo hiki temea mate chini.zero dadas my dear. and trust me ningekuwa na dada na ole wake angeanza kugegedwa kabla ya kuolewa i would have made sure ningemuua. na polisi wangenikamati ningwaambia ndio nimemuua becoz she brings shame to the family name.
Kama hauna dada basi omba mungu asijekupa watoto wa kike. Maana daah! Kwa kiapo hiki temea mate chini.