MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 12,893
- 28,923
R
Et baaana.....single mother wa nini wewe bwana?!! yaani papuchi zilizojaa hapa duniani kote umekosa mpaka uende kwa single mother
Huyo bado ana uhusiano na mzazi mwezake alikua anataka ampige chini ila akashtukia kukosa baadhi ya vitu/mali.............mkuu usimwaamini utakuta jamaa yake alisafiri.
Hapo hajakupangia muda wa kumpigia sim......
Mkuu huwa wanapewa vitu kama gari, viwanja, shamba, kulipiwa kodi ya nyumba, hela za matumizi, n.k hawezi japo kukwambia.......kama bado waawasiliana ujue ni changa utapigiwa tuMkuu kila mmoja anaishi kivyake. Hapo mali hakuna.
Labda kweli mkuu.... ila sidhani kama kuna jambo baya sana nimefanya.Huenda kuna mambo Fulani hakuyapenda from you.... Ndio maaana kaamua kubadili gia.....
Nipe the way forward...Mkuu huwa wanapewa vitu kama gari, viwanja, shamba, kulipiwa kodi ya nyumba, hela za matumizi, n.k hawezi japo kukwambia.......kama bado waawasiliana ujue ni changa utapigiwa tu
Muulize kama anawasiliana na mzazi mwenzake na huyo jamaa yuko wapi?Nipe the way forward...
Muulize kama anawasiliana na mzazi mwenzake na huyo jamaa yuko wapi?
Pia jaribu kumsikiliza kwa makini the way anavyomzungumzia mwenzake?
Ukijiridhisha kama jamaa wanawasiliana frequently we sepa Mkuu maana utapigiwa tu la sivyo kila siku utagombana au hutakuwa/yy hatakua huru.
Relax bro. Rudia kusoma huu uzi nimeelezea vizuri. Kama huyo wako anajiheshimu na kila mmoja anaridhika na mwenzake basi hii mada ikaushie au toa tu ushauri kwa manufaa ya wote.kila kiumbe kina tabia zake singo mothers my foots hapo single mother anahusikaje!!!!? hebu elezea uhusiano wa single mother na hili bandiko lako tafazali
ningeridhika sana maana hata mie nina mahusiano na sigo mother asije kunibadilishia gia nikaumwa
Mkuu kama hakushirikishi hayo hapo kuna walakini....hapo hakuna mapenzi tenaMzazi mwenzake yuko mkoa wa mbali. Anamzungumzia mwenzake kama mtu ambaye mapenzi nae yalishaisha na hana mpango tena. Msimamo wake ni kuwa kuna mambo yake mengine yanamsibu.
bado hujanielewesha uhusianio wa single mother hapa kwenye hili bandiko....Relax bro. Rudia kusoma huu uzi nimeelezea vizuri. Kama huyo wako anajiheshimu na kila mmoja anaridhika na mwenzake basi hii mada ikaushie au toa tu ushauri kwa manufaa ya wote.