'Single mothers' wana tabia ya kubadili gia angani

'Single mothers' wana tabia ya kubadili gia angani

Wakuu kwema?

Huu uzi ninauandika huku nikiwa na maumivu makali ya nafsi yaliyosababishwa na (single mother) Miezi kama 7 iliyopita kuna (single mother) nilimpenda na nikajua sasa hapa nimefika mwisho wa safari yangu ya kusaka mke. Kiukweli mwanzoni hata yeye alikuwa haamini kama kweli nimempenda na nia ya kumuoa.

Alifurahi na kunionyesha upendo. Kama mwezi mmoja hivi umepita ndo kaanza kutia supu nazi. Mawasiliano yamekuwa shida na pia kanipa taarifa rasmi kwamba tuwe kwanza marafiki kabla ya kuoana maana hayupo sawa kisaikolojia kwa sasa. Nikashtuka na kujiuliza hii kuwa marafiki si ni sawa na kurudi mwanzo maana tulishafikia hatua ya kupanga tuoane lini?Kuna wazo linanijia kwamba labda jamaa aliyemzalisha karudisha majeshi. Nimemuuliza kakana na kudai ni mambo yake mengine tu.

Wakuu nionavyo mimi hawa (single mother) kuwa nao kimahusiano lolote laweza hasa kurudiana na jamaa yake wa mwanzo. Ukiwa na (single mother) jua suala la gia kubadilishwa angani sio geni.

Nishaurini huyu mwanamama nimvumilie hadi hapo atakapokuwa sawa kisaikolojia au nipite zangu hivi?
Mkuu asije akawa ni yuleyule tuliyeachana kwa style hii! Ni mwalimu nini?
 
Mkuu huwa wanapewa vitu kama gari, viwanja, shamba, kulipiwa kodi ya nyumba, hela za matumizi, n.k hawezi japo kukwambia.......kama bado waawasiliana ujue ni changa utapigiwa tu
Kumsaidia karo ya mwanae nakadhalika pia hawapendi kubwana wakijisikia kuchepuka sawa tu.
 
Mkuu asije akawa ni yuleyule tuliyeachana kwa style hii! Ni mwalimu nini?
Sio wewe. Huyu bado sijampa taarifa rasmi za kumwacha kupisha shamrashamra za sikukuu ya Idd el fitr. Baada ya Eid uteuzi wake utatenguliwa na nafasi yake kuwa wazi.
 
Nyie majamaa kila siku tunasema na hamtaki kusikia...Usije kuthubutu kusomesha mwanamke au kuingia mapenzini na Singo mother

baelezeeee hawa majamaa .....hawa wanatembea na migodi yao katikati ya mapaja unabwagwa wakati wowote
 
Sio wewe. Huyu bado sijampa taarifa rasmi za kumwacha kupisha shamrashamra za sikukuu ya Idd el fitr. Baada ya Eid uteuzi wake utatenguliwa na nafasi yake kuwa wazi.
Kama anakaa dsm wilaya ubungo mbezi mwalimu nimemtosa mwezi wa 12 kicheche afu anapenda starehe! Tanga moja..
 
bado hujanielewesha uhusianio wa single mother hapa kwenye hili bandiko....


kwanini asikae na mwenzie akamuuliza kisa nin nini anakimbilia kusema single mother ?

huenda kilichomsababisha akaachana na mwenzie huyu jamaa anakirudia kinachotakiw ahapa ni kukaa chini kuulizana kulikoni kwa upendo mtafika sio kuanza kusema singo mom hapo ukishaifanya akili yako iwaze hivyo hutakaa upate ufumbuzi boss...unaanza kujengea akili yako mambo mengine yasiyohusika kwenye mahusiano yako

anza na kumuuliza mwenzio asee wacha hizo ujue labda alitarajia mambo tofauti na anakuta yaleyale please consider this just slowly
Point nzuri sana. SAA nyingine huwa single mother wanaonewa tuu
 
Kumsaidia karo ya mwanae nakadhalika pia hawapendi kubwana wakijisikia kuchepuka sawa tu.
Kweli mkuu wanatumia kigezo cha kusaidiwa majukumu....anakuaga anampeleka mtoto kwa baba yake au baba yake anakuja kumuona mtoto kumbe kapeleka papuchi inafumuliwa haswaa
 
single mother wa nini wewe bwana?!! yaani papuchi zilizojaa hapa duniani kote umekosa mpaka uende kwa single mother


wee sii ulisema ulishaolewa wewe?
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom