Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Well saidUbora wa papuchi hauharibiwi kwa kuzaa, once a sweet papuchi always a sweet papuchi
Well saidUbora wa papuchi hauharibiwi kwa kuzaa, once a sweet papuchi always a sweet papuchi
Utamjuaje!?Hata uniroge siwez kuoa mwanamke aliyezaa tayari
Yaonesha aliekutenda alikuumiza sana pole mpendwaAah mtu km ulishakosea bwana ni kurudi msalabani uombe toba utengeneze na Mungu coz Mungu huwa anasamehe!
Sio kutujia na hasira kisa wengine tuna misimamo yetu na hatutaki kupita huko!
Ndo hivyo,yaani km my mom no kuolewa na tumbo wal kuzaa b4 mpk ndoa na itakuwa hivyo soon km Mungu aishivyo!
Uzuri mi mwanamkw naelewa sn nlipokua chuo wadada walivyokua wanazaa utafikiri sifa mwisho wa siku wanaume wameoa wadada wengine!
Hapa kuna ambao walibakwa,au walitelekezwa na waume zao case zao zinaeleweka!
#punic at u r own risk#be real!
[emoji23] [emoji13] [emoji13] ngoja nicheke tuu.. Hakuna kiumbe anapenda taabu
Kudhalilika... N way oky
Yaonesha aliekutenda alikuumiza sana pole mpendwa
No wala sijatendwa km unavyodhani!.
Na hii haihusiani na kutendwa!
Haya nayaongea coz nimeyaona nikiwa chuo na nikiwa mtaani!
Nimewaona wadada ambao wakati tunasoma kuzaa na boyfriend ilikuwa km fashion,lkn nikikwambia leo hii wanayoyapitia,utawahurumia!
That tym si wengine ndo tulipnekana washamba!
Sio single mama tu ht single baba.....Nini ushauri wako kwa single mama na wanaotaka kuwaoa?
Sio single mama tu ht single baba.....
kila mtu na mipango yake na maisha yake!
Huwa nashauri sn,mwanaume aoe mwanamke aliyezaa nae,unamwachia nani?
,ikishindikana kabisa ,mwanaume na mwanamke wote wenye watt ndo waoane coz wote wanaelewa vzr uchungu wake!
Sijui kabila gani huyu jamaa, mijitu mingine bana! Mbona umeandika uzi wako kijanja halafu unajifanya boya?kwanini ujipe jakamoyo.single mother wa nini wewe bwana?!! yaani papuchi zilizojaa hapa duniani kote umekosa mpaka uende kwa single mother
Hapo ndipo unapokosea. Kumfananisha single father na single mama haipo sawa. Kwanza hakuna single father. Mwanaume hata awe na watoto 20 kabla ya ndoa haimzuii kuoa mwanamke ampendae. Wanawake ndo wahanga wakuu. Rudia tena kuuandika ushauri wako bila kuingiza neno "single father"
Hahaa hakuna nilipokosea wala nn na huwa nawashauri sn tu
Huwezi ukazaa na wanawake tofauti watt zaidi ya 1halafu uje utake kuoa fresh! ,ni kwa sbb jamii ipo na mfumo dume!
Lkn wote ni sawa tu!
Fuatilia wenye watt asilimia kubwa wanaoa wanawake wa aina gani,japo wapo wanao oa fresh lkn sio fair
#mtazamo wangu#
Na kweli ni bora mwanaume umwoe yule ambaye una uhakika anakizazi na uwezo wa kuzaa kuliko wasio na watoto kisa waliwasagasaga na kuwatupa vyooni.embu waacheni dada za watu
aliyewafanya wawe single mothers ni kina nani?
hao mnaowaona malaika mnajua wamechoropoa mimba ngapi?
Hahaaa!!! Ulioa mke wa mtuKuna mmoja alishawah kunibadilishia gia angani,,alidai kuwa Mzazi mwenzake kaomba warudiane hvo na yeye ameamua amsamehe ili walee mwanae,,nkamtakia kila laheri.