shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
dada msimamo wako mzuri.. ila tema mate chini ombea Mungu akuongoze..
kama umeshawai kuvua pichu maishani mwako na kulala na mwanaume bila ndoa usimcheke mwenzako aliyevua pichu na yeye akapata mimba bila ndoa...
na kuna muda utafikia utakutana na mtu mwenyewe utajishangaa jinsi utavyojiachia..
hisia za moyo achana nazo...
sitaki kuamini kama kina nancy sumari na wanawake wote duniani ni wajinga kuzaa kabla ya ndoa

Mkuu haya maisha mwanamke usipokua na msimamo na kujitambua nakuambia, malalamiko humu hayataisha!
Tena hua nashangaa unakuta mdada anamtegeshea mwanaume mimba! Wanaume wenywe hawa wa sikuhizi?
Nasema wanawake tusipobadirika vilio havitaisha!