'Single mothers' wana tabia ya kubadili gia angani

'Single mothers' wana tabia ya kubadili gia angani

Hehee mkuu! Nitake radhi!
Nilishaapa no marriage no child! Nilishaweka agano na Mungu na ndivyo itakavyokuwa!

Yaani hapa no kuolewa sijui na tumbo cjui kuzaa kwanza!
Kama pichu hua unavua basi jandae kwenda labour
 
Kuoa single mother nisawa nakufuga nyoka ipo siku atakumbuka mapangoni kwake
 
Sio wewe. Huyu bado sijampa taarifa rasmi za kumwacha kupisha shamrashamra za sikukuu ya Idd el fitr. Baada ya Eid uteuzi wake utatenguliwa na nafasi yake kuwa wazi.

Haaahaaa
Nimecheka!
Eti uteuzi unatenguliwa!
 
Wewe Dada unadhani single mothers wote wanazaa tu unaolewa unazaa Kisha Ndoa inaisha Hilo agano lako kalirudie upya

Naelewa yote hayo mkuu!
Na sijawahi kuingia agano lolote!
Na ninaogopa kwasbb naelewa madhara ya agano hilo ni mauti na si mauti ya mwili japo watu wanachukulia poa!

Niko makini!
Ndo maana nilisepa b4 coz sitaki bness za kuolewa na tumbo au kuzaa kwanza
 
Nitaenda ndio ,nikiwa ndani ya ndoa si vinginevyo!

Mwili wangu wa gharama sio wa kumvulia kila mtu!
Hao wenzio masingle mother nao waliolewa kumbuka kutemwa pia kupo nasubiri uacheke nije nkufaidi 4 free
 
Yeah nakuamini saana Christine kwa misimamo yako isiyoyumba...!
 
Wewe Dada unadhani single mothers wote wanazaa tu unaolewa unazaa Kisha Ndoa inaisha Hilo agano lako kalirudie upya
Usimtishe mwenzako bwana....!
Ukiingia katika agano takatifu na Mungu kamwe hawezi kukupa jaribu ambalo litakusababishia uwe single mothers....
 
Matatizo mengi ni ya kujitafutia wenyewe. Mtu kashazaa na mtu mwingine wewe unajipachika. Tafuta wako bandugu.
 
Endelea na Maisha yako....usihangaike na Mwanamke akitikea ambae ni really for you utamjua tu itakua hakuna longolongo
 
Hao wenzio masingle mother nao waliolewa kumbuka kutemwa pia kupo nasubiri uacheke nije nkufaidi 4 free

Ni wao sio mi!
Na sitatemwa km Mungu aishivyo coz sijaribishi ndoa!
Mi naolewa na ndoa yangu haitavunjika, Na nitazaa ndani ya ndoa kwa jna la Yesu!

Mungu hashindwi jambo!
Weka agano nae kwny kila kitu!
Soma neno,omba roho mtakatifu atakuongoza kwny maisha yako !
 
Mungu hatoi vitu vizuri pekeake bali hata vibaya hutoa ili atukuzwe rejea maisha ya sara na ayubu....mungu hukupi unachotaka ww bali akitakacho yey
 
Yeah nakuamini saana Christine kwa misimamo yako isiyoyumba...!

Mkuu haya maisha mwanamke usipokua na msimamo na kujitambua nakuambia, malalamiko humu hayataisha!

Tena hua nashangaa unakuta mdada anamtegeshea mwanaume mimba! Wanaume wenywe hawa wa sikuhizi?

Nasema wanawake tusipobadirika vilio havitaisha!
 
Hakuna mzazi anayependa mtoto wake alelewe na baba/mama mwingine sema basii tuu ndiyo ya ulimwengu mengi
 
Mungu hatoi vitu vizuri pekeake bali hata vibaya hutoa ili atukuzwe rejea maisha ya sara na ayubu....mungu hukupi unachotaka ww bali akitakacho yey

Mungu hatoi vitu vibaya ,vibaya ni vya adui!

Mungu ukifuata amri na sheria zake hana shida,majaribu! Yapo lkn utashinda atatoa mlango!

Ayubu aliuona mwisho!
Sara alifungwa tumbo kwa kusudi maalum!

Ndoa nyingi wadada huwa kuna kukurupuka na kulazimisha!
 
Back
Top Bottom