Umesema vizuri mkuu@Mzigua90,
Nimependa ulivyohighlight jinsi ambavyo wanaume,wanavyolichukulia hili swala la mimba,kuwa ni kutegeshewa,
Umetoa mwangaza kwa wanaume wanaosoma hii topic,sio mara zote huwa wanategewa mimba,nyingine zinaingia tu,
Hii itawafanya na wao wafuatilie mzunguko wa girlfriends zao au atleast watajikinga.
Kudos.🙂🙂🙂
Vipi wewe haujawahi kumwaga binti ukaenda kwa mwingine?Kuna demu mmoja alinipiga chini!!
Baada ya miezi kadhaa nikaskia ana mimba na aliye mpiga mimba kaoa mwanamke mwingine yeye hana time nae tena, kapewa hadi talaka, yupo tu mtaani kama mimi ni msichana mdogo ila kazeeeka kama ana miaka 96! Ana niomba turudiane nikamjibu asubiri hadi baada ya miaka 15 nitampa jibu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi nilipata mimba bila ilikuaje. Nilikua najua kutumia calendar vizuri kabisa. Siku napata ujauzito nilimwambia the guy siko safe na tukatumia kinga na sijawahi fanya nae bila kinga, sikumbuki yeye kuingia bila kinga ila ninachojua two weeks later nilijikuta mjamzito lakini bado alisisitiza nikatoe as if nilimtegeshea. Nikakataa kutoa na yeye akanipotezea basi maisha yakaendelea. Unajua kuna ile mtu anasema anagusa juu juu tu sasa wengine hata asipoingiza anamwaga halafu akiambiwa mimba anaona kaonelewa.
Chaguo n lakoipi bora kuwa single mother au kuwa mpweke?
Yaan, mie wangu alikataa mimba na akasema nisimjui tena. Nikapiga moyo konde nikasimama imara nikaamua kulea. Baada ya kujifungua mtoto copy right baba ake, siku moja akaoneshwa mtoto na rafiki yangu hapo akiwa na miaka miwili. Ndio akajileta, Aiseeee nilimwambia umekosea njia. Fanya yako, yangu hayakuhusu.
Maana wakati ananiacha aliniacha kwa jeuri sana na maneno kibao ya kashfa.
Duh ila wanaume wana roho muumuu AiseeeeWangu hakukataa mimba ila alitaka niitoe eti sijajipanga kimaisha na yeye biashara haimwendei vizuri nikakataa. Basi akanichunia ila hela ya kutoa alituma. Toka atume hela hakuwahi kuuliza kama nimetoa sijatoa au nilivyoenda kutoa nilikufa wala hakutaka kujua. Imefika miezi tisa nikamwambia ntajifungua siku yoyote na kwa kuwa yeye ndo baba wa mtoto basi last name ya mtoto ni la kwake. Ila hata kusema hela hii ikusaidie kwenye uzazi hakujaribu. Nimejifungua akaja akanipa hela kidogo akasema atakua ananipa matumizi kwa mwezi. Toka aseme hivyo hajatuma hata 100 na mbaya zaidi hata kwenye simu hapatikani na hayupo Tz. Mtoto ana miezi minne now baba hayupo.
Sana tu yani. Wish wasingekuwepo dunia hii teh[emoji15] [emoji15] kumbe wanaume wana-cause stress eee
Mkuu umetumia lugha kali sana kwa hawa dada zetu.Ila tuishi nao kwa akili sana.Kuishi na mwanamke inahtajika akili kubwa sana; wanakera na wanaboa sana. Ni kumfunua na kumwacha tu akizingua; na ndo hali hii wanajikuta wapo single mamas. Wajinga mno! wanawaza hata visivyowezekana.
Sawa mkuu, asante.Mkuu umetumia lugha kali sana kwa hawa dada zetu.Ila tuishi nao kwa akili sana.
Wanaume muda mwingine wanaumiza Sana sasa Ndo nini hivoYaan unajua mambo mengine kuna wakati mtu unaona bora tu uwe maamuzi yanayoufurahisha moyo wako. Nilikuja gundua alituzalisha watatu kwa wakati mmoja. Tulitofautiana miezi tu.
safi sana mkuu kwa majibu mazuriKujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba
ipi bora kuwa single mother au kuwa mpweke?
tatizo ni sisi wanaume
Siamini hilotatizo ni sisi wanaume
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti kugusa juu juu!!
Sasa kama siku zote mlitumia kinga ilikuwaje ukapata mimba? Au ilipasuka!!
Kinga nazo sio za kuamini 100%
Not likely but sometimes(tumeshududia) elimu inavyowapa ego na kuwaondolea heahima kwa wanaume zaoKumbe walo na elimu kubwa huamua kuzaa tu na wasiolewe?
Mnakimbiwa bila sababu?Nyie Ndo mnatukimbia Jamani