holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 884
- 1,400
Nani aliekwambia single mothers walipata mimba kwa kuamua?? Na una ushahidi kwamba wanawake wenye watoto hawakuwahi kutoa mimbaSABABU ZANGU NI HIZI.
1. Single girls wengi ni Mama wa Marehemu,Wengi hawana watoto ila wameua watoto wengi kwa abortion.Kama ameweza kuua kiumbe chake tumboni sembuse wewe Mtoto wa mama mkwe.Kuthibitisha hili angalia uliposoma chuo ni wanafunzi wangapi walioana kichuo na kuishi kama mume na mke ,Ni mimba ngapi walizitoa alafu baada ya chuo kila mmoja akashika njia yake.
2. Single girls wengi ni mabingwa wa kutumia P2.Yaani vizazi vyao vimejaa P2.Ukimuoa huyo kuja kupata nae Mtoto ni lazima MWAMPOSA afunge miezi 9 bila kula wala kunywa.Kizazi kilishalegea kama nyavu za ndondo Cup.Bed rest ni January to September.
3. Single girls asilimia kubwa wana wanaume wengi sana.Yaani wapigaji ni wengi.Ukioa single girl utachapiwa na wengi sana.Wote waliowahi kumpa mimba na kuzichomoa wataendelea kujipigia.
4. Asilimia kubwa ya single girls ni ma-slay queen.Hakuna lolote analojua kwenye maisha.Wao bata j3-j3.
NAWASHAURI VIJANA OENI MA SINGLE MOTHER.WANAJIELEWA KATIKA MAISHA NA UTAFUTAJI.
Hapana mkuu sijaoa single mother ila sijaona bado matatizo yao yako wapi mpaka kupelekea kukosa mvuto kwenye ndoaUpo sahihi kijana. Hii ni kutokana na uzoefu wako, pia maelezo yako yanatudhihirishia kuwa umeoa single mother.
Ila wengi ni pasua kichwa kutokana na retrospective history!!!
Komaa naye tu, utatoboa jombaaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona ngoja nikasome maramoja 😀""Nimeamua rasmi nidate na mume wa mtu, hakuna namna!""
Huo hapo juu ni heading ya Uzi wa single maza.
UMEZIONA AKILI ZAO?
#YNWA
Kwanini mkuu mbona wako poa tuSingle mother hata kama ungenishikia bunduki sioi single mother.
Si kweli wamekosea pakubwa.Sitetei feminism ila Ifike wakati tuache kuwaona kama walikosea pahala mpaka kupelekea kuwa Single mother kwani sisi wanaume siyo malaika pia
Wengine wamekosewa mpaka kufikia hapo walipo mifano tunaishi nayo mitaani mkuuSi kweli wamekosea pakubwa.
Hata kama wanaume tunakosea pia, makosa yetu hayawafutii makosa yao.
Two wrongs don't make a right.
Kila la kheri mkuu, usiache kutuletea mrejesho.Wengine wamekosewa mpaka kufikia hapo walipo mifano tunaishi nayo mitaani mkuu
Hapana, simdet mmoja wao ni mtazamo tu 😀😀Kila la kheri mkuu, usiache kutuletea mrejesho.
Nimeona nyuzi kadhaa na maoni kuhusu hawa tunaowaita single mothers, mitazamo iko tofauti sana kulingana na kila mmoja anavyoamini.
Hawa ni wanawake Kama wanawake wengine tu na wanastahili kuheshimiwa kwani wengi wao wamebeba majukumu ambayo wanaume wenzetu wameyakimbia
Sitetei feminism ila Ifike wakati tuache kuwaona kama walikosea pahala mpaka kupelekea kuwa Single mother kwani sisi wanaume siyo malaika pia
Kuoa single mother siyo kujitwika mzigo kama baadhi ya vijana wavivu wanavyofikiria kwani kufanya hivyo ni moja ya kujipima uwezo wa kuhudumia familia yaani mkeo na watoto wako/wake uliowakuta kwake
Single mothers wengi wanajitambua na hawanaga utoto tena kwakuwa wameshajua maisha yapoje, wanajua kulea watoto wanajua kuhandle mwanaume na kila material wanayo
Sina uzoefu nao ila nawaona vijana wengi wakijenga shavu baada ya kuoa single mother na mara nyingi mahusiano yao yanadumu sana
Nawasihi wanaume wenzangu tuache shutuma na tuhuma zisizo na msingi kwa hawa wanawake kama hatuwezi kuoa tutulie kimya kuliko kuwaangushia jumba bovu wanawake waliozalishwa na kuachwa/kuacha.Tuwape heshima na treatment ile ile wanayopata wengine
Wanawake wote ni sawa
Student
Sawa mkuu uliyekariri maishaNenda kaoe single mother, kama huna ozoefu bora ungekaa kimya. Watu wamepigwa wewe unakuja kutubania pua hapa eti wanawake wote Sawa?
Nimependa ulivyoMFARIJIUpo sahihi kijana. Hii ni kutokana na uzoefu wako, pia maelezo yako yanatudhihirishia kuwa umeoa single mother.
Ila wengi ni pasua kichwa kutokana na retrospective history!!!
Komaa naye tu, utatoboa jombaaa!!!