Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
hebu acheni kuhubiri umaskini wakati malodi lofa tupo, unatumia mtandao gani kwani?

Daaah hivi kwa nini nlilala mapema...... Natumia smart mheshimiwa mkubwa sana
 
Nafikiri ni baada ya kuachana kwao. Ila Yule mdada alimezwa Kabisa hata leaders kwenye picha za blog hakupewa introduction km mke wa marehemu. Mtoto aliyekuwa anatajwa ni wa monalisa Wakati Yule mke wa sasa Ana mtoto pia....lazima alijisikia vibaya

Aisee mbaya sana hii...kwa nn walifanya hivyo?
 
Absolutely true ! Ikumbukwe pia kuwa MTALAKA HATONGOZWI ukienda kufuata sijui ada ya mtoto, mara hela ya tuisheni, ni kiasi cha kuangalia mazingira kama panaruhusu kupasha kiporo jamaa linagonga tu

ha ha ha
 

ha ha ha mtaua mtu kwa stress nyie!!
 

You said it all! Thank you for your love & support to all the single mamas out there. And just so everybody knows, there are so many factors that could lead to someone being a single parent so stop judging & learn to respect others. If anything all the single parents need to be applauded for a commendable job they are doing. I do applaud all the single parents out there! Hata Obama alikua a by product of a Single mother!
 

Asante mkuu, you are definately speaking from experience.
 
that's the point, baaas... Mtu kakitembeza toka secondary hadi kazini, kachoropoa mimba/kazalishwa nyumbani!!
..aliyesema usizini hatutaki kufuata sheria zake, no justification katika hili..

Ukiulizwa kama mkeo/mpenzio ulimkuta bikra utasema hapana
So the question is how do u know that she hasnt done several abortion?
Single moms deserve much respect jamani
They are strong and stable
 
aise mimi kama single dad sikubaliani na hicho kitu niwasiliane na huyo mume ndio nilimpa mimba? haiwezekani aise

Ulipomuacha na mtoto hukulijua kwamba anaweza.kuolewa na akawa chini ya himaya ya mwanaume mwingine?
 
Mimi siwezi nikabishana na mpuuzi kama wewe kwani nitakuwa mpuuzi pia,u know nothing...

Pia mimi sio mtoto mwenzio,as u think...ninauwezo wa kulisha wewe na babako

kauli zenu kama hizi ndizo zinafanya mnakimbiwa..sijui unacholialia kitu gani?
 


Umeongea vyema ila usipitilize kujifagilia na kuhalalisha makosa, ukweli kuzaa nje ya ndoa ni makosa wanadamu hufanya na tunasameheana ila sasa tusifanye kosa kuwa takatifu kwa kusema eti heri ya mimi niliyezaa angalau najifahamu nina kizazi hiyo ni poor argument wema ni wema na uovu ni uovu ambaye hajazaa hata kama hakuna prove ya yeye kuwa na uzazi bado anasimama kuwa katika standard ya juu kuliko aliyezaa nje ya ndoa unless otherwise especially vile vibinti vidogo ambavyo hata havina shida kuwa maisha yaliwalazimu wakazaa mapema unajikuta vimezaa na kuacha shule au chuo halafu vitembee kifua mbele heri yetu sie tunaprove ya uzazi hilo halipo ni maneno ya kutafuta ushindi pasipo ushindi
 
Ukiulizwa kama mkeo/mpenzio ulimkuta bikra utasema hapana
So the question is how do u know that she hasnt done several abortion?
Single moms deserve much respect jamani
They are strong and stable


Ninaheshimu sana single mothers ila nao waheshimu ambao hawajazaa nje ya ndoa kwa kutowasingizia abortion kwani hao single mom kuzaa kunawaondolea kutotoa mimba zingine? Ni ukweli kuna ambao hawajazaa na wametoa mimba pia wapo ambao hawajatoa hivyo hivyo kuna single mom wamezaa lakini pia wametoa mimba pia kuna ambao wamezaa na hawajatoa. Hili swala ni sawa na wanaume wanywa pombe na wasio wanywaji, utakuta wanywaji husema ooo wanaume wasiokunywa pombe ni viwembe maana sitarehe yao kubwa ni wanawake kitu ambacho si lazima maana barmaids wote huondoka na walevi dakika za lala salama maana pombe huambatana na wanawake kwahiyo ni pote hakuna upande unapenda zaidi wanawake bali tabia ya mtu binafsi
 
Asante mkuu, you are definately speaking from experience.

Thanx Miss Kim, sio single mothers wote ni sababu ya utovu wa nidhamu kwa njia moja au nyingine,wengine ni wahanga wa matukio fulani ambayo hawawezi kuyarekebisha! !!!!

Tupendane na kuheshimiana jamani hatuwezi jua kesho zetu zitakuwaje!!!!!!!!

Juzi nilikuwa lunch nikakutana na mama mmoja mtu mzima hatujuani lia tulikaa meza moja akanifundisha kitu kikubwa sana, kuwa mapungufu au mkwamo wa mwenzako uchukulie kama fursa ya wewe kuwekeza maishani kwake sababu yawezekana wengi hawaoni hiyo fursa sasa jichukulie mwenye bahati na rekebisha hiyo hali na kama Mungu atakupa uhai mrefu basi utakuwa na hisa nyingi kwa watu tofauti na hili ni lenye kupendeza wanadamu na Mungu wako!!!!!

That day nilishiba tumbo na akili!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu #kaizer nimependa huu ujio wallah
Mungu akubariki sana
Tungeku around last night hope the rest of the round kwenye viti viref ingekua juu yangi aisee
Personally sijalelewa nasingle parent(single mom) but nimekuzwa mazingira ambayo my mom (was single mom before married to my dad)
So u have seen the hustle of my mom to reject all the connection from the guy kwa heshima ya mumewe(my dad)
Tumeish maisha ya aina moja na hakuna matabaka (btn us and our step bro) japo baba yake was loaded back then but sababu ya rules ambazo walijiwekea kabla ya kuoana
" .so matunzo, matibabu, ada na kila kitu chake ni juu baba Yang
baba yake hakuwa na right ya kuingilia mahusiano kwa kigezo cha mtoto...even when the guys was 18+ we still had him tunarudi pale pale .logic ni very simple kwamba alishafeli from the beginning ndo maana hawapo pamoja, na hata kama ana uwezo kuliko my dad ni kwamba wote tuliishi kwa mfumo na standard ya maisha na uwezo Wa baba na sio vinginevyo. Hayo mambo walishakaa na kusort out kabla ya ndoa ili kuepusha migogoro na perception kama hizi baadaye."

My take is
I don't appreciate single mums just because my mom was
I appreciate and respect single mums because of 3 to 4 reasons
1-they are God fearing (they could have done abortion)
2- they are strong,raise a child alone trust me is an issue hata kama u r that loaded(wangap wametupa watoto)
3-they are inspiration to young girls(nieleweki sitetei kuzaa mapema but at least ni bora kuzaa kuliko kuchoropoa au kutupa mtoto)
4- my father showed me away just the same as #mentor and chief #kaizer said
U wanna marry a single mum u marry with her kid so ishu zote u handle by uaself no connection btn her and her ex
God bless my dad God bless all single mums out there
 
Last edited by a moderator:

Ukitaka kujua uchungu Wa kukosa kizazi kamuoe mill an(happiness magese)
 
Ukiulizwa kama mkeo/mpenzio ulimkuta bikra utasema hapana
So the question is how do u know that she hasnt done several abortion?
Single moms deserve much respect jamani
They are strong and stable

I respect them a lot, i applaud all single moms out there, i appreciate them for the job they're doing...raising kids alone isn't easy at all.

But my pont is and will always stand, I'm not stigmatizing any single mom but i encourage them to date single fathers. Haijalishi amezaa nyumbani, ameishi Na mtu wakashindwana au amepoteza mwenza kwa kifo, Naamini watakuwa huru zaidi kuishi Na watu wenue watoto poa. Hata Mimi, ikitokea ndoa yangu kushindwa, au kumpoteza mwenzangu(God forbid) sitafikiria kutafuta kibinti kidogo kiishina Mimi, nitatafuta mzazi mwenzangu tulee watoto...
 

Umegusia kitu hapo mkuu. Haimasnishi kuwa aliye single mama hajawahi kutoa mimba, tumeshuhudia wadada kedekede wakisema " mhh mimba hii sitoi, nimetoa nyingi ngoja nizae sasa coz nikicheza hapa naweza nisipate mimba tena" ....wapo wengi sanaaa!!
 
Huyu anataka kutuambia alizaa ili ajipime kama ana kizazi ndo aolewe. That is nonsense. Akubali tu alilikoroga Anataka kutuaminisha wanaume tuoe wake wenye watoto kwasababu wana uzao. shit!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…