Single and available

Hadi mwaka unaisha nashikilia hii identity

mwaka 2011 nataka kuachana nayo

wana jf naomba mnipe experience ya huko niendako

pia nakaribisha maombi kwa wale opp sex walio single twaweza fanya njia

Kwani wewe ni wa jinsia gani????. Katika enzi hizi mtu wa jinsia yeyote anaweza kuwa na malengo kama yako. Tuweke wazi tafadhali
 
NATA single and available? We mtoto wa kiume bana acha uvivu kuwa single and searching alah................
 
Bado mpenzi,
Karibu jumamosi jioni home ninakipindi cha maombi ,
kufika kwako ndio mafanikio yangu

kaza moyo , ongeza mwendo
maana umpendae anafanya hivyo hivyo muda si mrefu mtakutana njia panda......

haya ngoja nitayarishe bible yangu mie nakuja....
 
kaza moyo , ongeza mwendo
maana umpendae anafanya hivyo hivyo muda si mrefu mtakutana njia panda......

haya ngoja nitayarishe bible yangu mie nakuja....

We vipi usha pata mkurugenzi wa kitengo?
 
hahahah lol nadhani ntaanza campeni na uchaguzi mwaka huu... lakini hakuna haraka lol
mambo mazuri haya lol

Unikombuke nawza kuwa mgombea mwenza wako, ni mtu wa watu mie na wewe kwa pamoja twaweza shinda!
 
DJ BABU,

Signature yako inanipa shida kuisoma!

Dear Lord, you've done took so many of my people but I'm just wonderin' why
You haven't taken my life?

Yaani wewe unataka majibu magumu kwa maswali mepesi.
 
mmmhhh uchaguzi na kampeni utanza mwaka huu lakini matokea labda mwakani au mwaka unaofuatia
hakuna haraka......

Poa mpenzi matokeo yakucheleweshwa hivyo hayachelewi kuchakachuliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom