Single and available

Wale ambao ulikuwa nao enzi upo SINGLE and AVAILABLE hawana vigezo??!!!!

Hadi mwaka unaisha nashikilia hii identity

mwaka 2011 nataka kuachana nayo

wana jf naomba mnipe experience ya huko niendako

pia nakaribisha maombi kwa wale opp sex walio single twaweza fanya njia
 
Mmmh! Single and Desperate![/QUOTE]

SINA MAANA HIYO. MAOMBI YA PAMOJA YANAJIBIWA HARAKA SANA.

MISS JUDITH KANIKUMBUSHA,

MIE NIMEMWALIKA TU AJE ANISAIDIE KUWEZESHA!
 
Ashaomba huyu dada Judy!!, Kumsaidia ni kama hivi wewe, kama ushaolewa, umtafutie dada mdogo, kama huna dada, umtafutie rafikio, Ashapita kuomba mwenyezi, kalameni sasa yuko uwanjani.... "Bisha Hodi utafunguliwa...." mungu atuambia. Kina DADA msaidieni Msela hapo, ataka jikoooooooo!!!!!!

Mbona majikoo yako mengi tuu sokoni yaani unachagua tuu la mkaa, la mafuta ya taa, la umemela gesi N.K
 
Ashaomba huyu dada Judy!!, Kumsaidia ni kama hivi wewe, kama ushaolewa, umtafutie dada mdogo, kama huna dada, umtafutie rafikio, Ashapita kuomba mwenyezi, kalameni sasa yuko uwanjani.... "Bisha Hodi utafunguliwa...." mungu atuambia. Kina DADA msaidieni Msela hapo, ataka jikoooooooo!!!!!!

kama kamshirikisha Mungu ni bizuri. anapswa kuwa na subira tu Mungu hujibu kwa wakati na majira yake

Ehe, Miss judith na kwalika kwenye maombi jioni yaleo

naamini atanijibu leo!

nashukuru mpendwa, nami nafungua kamabi ya maongi hapa kwa ajili yako na yangu na kwa ajili ya dunia nzima
 
kama kamshirikisha mungu ni bizuri. Anapswa kuwa na subira tu mungu hujibu kwa wakati na majira yake

nashukuru mpendwa, nami nafungua kamabi ya maongi hapa kwa ajili yako na yangu na kwa ajili ya dunia nzima

Kweli dont judge a book by its cover, hicho kivazi miss judith nilikupeleka kwingineee,

kumbe dada wewe ni mcha mungu..,!

Nashukuru kwa kunisaidia kwa maombi katika hili..
 
kama kamshirikisha Mungu ni bizuri. anapswa kuwa na subira tu Mungu hujibu kwa wakati na majira yake

nashukuru mpendwa, nami nafungua kamabi ya maongi hapa kwa ajili yako na yangu na kwa ajili ya dunia nzima

Mhmhmh hapo sasa Miss unakosea , we si unajua jinsi gani mi nalalamika kwa vile nilivyotendwa na bidada! Hivyo akili yangu ilikuwa nianze kufunga NOVENA ili kambi ihamie kwako sasa kwa utaratibu huu mbona unaanza kunitia hofu! Nitafanikiwa kweli ? Maana mhmh usije fanya kweli halafu mie nikakakusikia tu hapo itakuwa maumivu mara mbili
 
Ni MTZ
Mrefu
Mweusi
Muumini wa kawaida
Mchapa kazi(tractor la familia)
Living single

Hapo Mkuu lazima wachape lapa faster coz kumfanya mwanamke as tractor la familia dahhhh! hii noma sana mkuuu! anyway labda akina MOYO MPWEKE UTAWAONA WANAKUJA KUJISHEBEDUA KWAKO MKUU!!!
]
 
Hizi ni sifa zangu mkuu, kwa uchapa kazi wangu wameninick name hivyo

Si kama natafuta mwanamke awe tractor nop!
 
Kweli dont judge a book by its cover, hicho kivazi miss judith nilikupeleka kwingineee,

kumbe dada wewe ni mcha mungu..,!

Nashukuru kwa kunisaidia kwa maombi katika hili..

loh, pole kwa kivazi, si avatar tu jamani? kweli tukishirikiana maombi tutapunguza mabachelor nchini mwetu na kugeuza maisha ya tz kuwa kama paradiso amabapo kila mmoja anaambatana na ubavu wake mwenyewe

Mhmhmh hapo sasa Miss unakosea , we si unajua jinsi gani mi nalalamika kwa vile nilivyotendwa na bidada! Hivyo akili yangu ilikuwa nianze kufunga NOVENA ili kambi ihamie kwako sasa kwa utaratibu huu mbona unaanza kunitia hofu! Nitafanikiwa kweli ? Maana mhmh usije fanya kweli halafu mie nikakakusikia tu hapo itakuwa maumivu mara mbili

endelea tu na novena yako ndugu tena uongeze bidii katika kuliitia jina la Bwana ajibu mambi yako kwa wakati wake, usikatishwe tamaa na kambi ya maombi ninayoianzisha huku kwani itasaidia kuharakisha majibu ya maombi yetu wote
 
Hhahahahha, Mkuuu umenichekesha sana!!! Yaani umeamua kula winga faster!!! na kumkumbuka Rose wako?? Sasa Rose akijua ulitaka kucheat naye si atakumwaga mkuu??? kuwa makini sana!!

dah rose ananitosa ana maind miaka yangu lakini ntaendelea kukomaa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom