Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 293
Diwani huyo ni mhuni kama kisandu!!!!
Lazima ameshanunuliwa Huyu maana hata sababu yakuhama haina mashiko,umaskini hauna adabu ni kwa bei yeyote mtu anakwendaMwambieni safari njema huko aendako. Bila shaka safari yake inaelekea magambani
Kama wamenunuliwa wahuni huko BAVICHA, itakuwa huyu wa kijijini kwa Nchemba? Aende salama.Lazima ameshanunuliwa Huyu maana hata sababu yakuhama haina mashiko,umaskini hauna adabu ni kwa bei yeyote mtu anakwenda
na yule mvusha twiga na tembo mkuu!mnatafuta mchawi wakati mchawi ni baba colin
mkuu umenena vyema, si unamkumbuka yule mburushi wa singida mjini? Kwa kweli kuna mambo mengine yanasikitisha singida!Singida Bwana!
Wanataka wabunge wanaoleta misaada kama Nyalandu na MO.Uneona wapi ukijiletea maendeleo kwa kujichanigha inakataliwa?Au ni ile michango ya kutijirisha watendaji?Tundu lissu si mfadhili bali ni Muelimisha umma kutambua haki zao kisha kujiletea maendedeleo wenyewe.Kama walisubiri awaletee misaada watangoja sana.Walioelimika ndo hawo wanatimua vumbi wanadai na kutetea haki zao na za wengine.
Singida imekuwa nyuma kimaendeleo kwa muda mrefu kutokana na wanasiasa wengi wanobebewa na serikali ilihali hawana msaada kwa wananchi wao.Usiwadanganye wananchi na misaada midogo huku ukiwaingiza kwenye matatizo makubwa.CDM kuna democrasia awapishe wengine waendeleze sebene la maendeleo,Magamba wanatumia pesa walizozalisha kutokana na utajiri wetu.2015 si mbali,sijui watakimbilia wapi!
Hii habari ilikuwepo tangu jana lakini ilisema ni diwani mmoja ambae ndiyo ummtaja kwa jina je hao wengine hawana majina?Madiwani wanne wa chadema singida wamevua gwanda na kuvaa uzalendo akiwemo diwani wa iyanja mhe reuben moses
Madiwani wanne wa chadema singida wamevua gwanda na kuvaa uzalendo akiwemo diwani wa iyanja mhe reuben moses
Madiwani wanne wa chadema singida wamevua gwanda na kuvaa uzalendo akiwemo diwani wa iyanja mhe reuben moses
Madiwani wanne wa chadema singida wamevua gwanda na kuvaa uzalendo akiwemo diwani wa iyanja mhe reuben moses
Mimi nimempenda sana huyo DIWANI kwa maamuzi ya busara,kuamua kuhama ili chama kijue sio mwenzetu tena kuliko wanaotumiwa na CCM,kuhujumu chama na kutoka hawatoki eti wanatetea chama kumbe ni MASALIA.
kwa hiyo ni bora ukipitiwa na mamilioni ya CCM,hama kabisa na chama kuliko kutuhujumu.Hongera sana MH.DIWANI.
kwa hiyo wananchi wanajiandaa kumchagua diwani anayehamasisha wachangishwe michango? Ama kweli akili ni Mali.
Another silly season...