huwa ndo hapo nachokaga na chadema..kuna kijiji kuna mradi wa tasaf ... Wananchi jukumu lao lilikuwa kusaidi kusomba mawe kuweka kwenye lori ..wamekuja chadema wanawambia sio nyukumu lao kufanya hivyo ni serikalii...lakini sera ya tasafa wananchi wanapaswa kuchangia nguvu zao katika sehemu ya mradi lengo kuwafanya waone kuwa ile ni mali yao...wananchi waliposikia hilo ukweli walishanga sana na kuona cdm chama cha ajabu sana, kwanza wamezoea kushiriki katika shughuli za maendeleo ya kijiji..ukweli waliwazomea wale viongozi tena sana...