T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,930
- 991
Diwani alichongea namcot kutoka RADIO FREE AFRICA "UONGOZI WA CHAMA HAUTAKI TUSHIRIKIANE NA VIONGOZI WA SERIKALI KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO, TULIKUWA TUMEANDAA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA ILI TUKAMILISHE UJENZI WA SHULE ZETU AMBAZO KUNA WANAFUNZI WALISHINDWA KUENDELEA MASOMO KUTOKANA NA UHABA WA VYUMBA MWAKA JANA NA MWAKA HUU TUNATEGEMEA KUPATA WANAFUNZI WAPYA. KATIKA HARAMBEE TULIYOANDAA MGENI RASMI ALIKUWA Mh MAGUFULI. CHA KUSHANGAZA UONGOZI WA CHAMA ULINIKATAZA NA KUNISHAURI NA KUPENDEKEZA IKIWEZEKANA TUMPENDEKEZE ASKOFU YOYOTE AWE MGENI RASMI NA UONGOZI UKAHAHIDI KUTUPA SAPOTI YA HALI NA MALI". My take ndg zangu viongozi wengi walioshika nyadhifa muhmu na wabadhifu wameindeleza kaskazn hasa arusha na kilimanjaro ambao wanajiita wenye chama. Tukiendeleo kuwasikiliza na kutii amri zao ambazo ni sumu kwa maeneo tutokayo tubaki daima nyuma.
nimevutiwa na madai ya chadema kuwa mgeni rasmi awe askofu,ndio mana tunasema hiki chama na kanisa ni pete na kidole