Singida: Diwani wa kata ya Iseke ajiuzuru

Singida: Diwani wa kata ya Iseke ajiuzuru

Watu wa aina ya huyu Diwani wanatakiwa kupuuzwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye ukombozi wa pili wa Mtanzania,naona malengo yake hayakutimia
 
huyo ni fisadi, ameona anapeteza fedha ambazo angajipatia kifisadi kwa kuchangisha watu. CDM hakuna nafasi ya ufisadi.

Taarifa ya TBC leo saa mbili usiku katibu wa cdm amekiri nchi inaongozwa kwa kodi mbilimbali. Ukizungumzia michango ndyo kodi kodi zenyewe. Lazma mkubali sera hii inawatafuna,itz not applicable in developing countries like TZ
 
Hii sera ya kuzuia wananchi kuchangia maendeleo itakiumiza sana chadema mana ndio inayosababisha migogoro katika halmashauri zote zinazoongozwa na chadema. Wananchi wanataka maendeleo chama kinawakataza kuchangia
 
Hii imani kuwa maendeleo yanaletwa na serikali ni imani mufilisi kabisa
 
wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, wazee wana msemo kifo kitawaumbua
 
Tundu lissu ana hali mbaya jimboni kwake, umaarufu nje ya jimbo lakini nyumbani kunateketea

Jimbo gani laSingida lina maendeleo uliyotarajia. Ukipita Sgd unaona vichuguu vingi utadhani makao makuu ya mchwa cha ajabu utaona vimtu vinatokeza kushangaa magari huku vimevaa tshirt za kijani au njano meno yote nje, vimechoka bila kujua kinachovitafuna vimekivaa mwilini. Poleni wana Singida
 
Watu wa aina ya huyu Diwani wanatakiwa kupuuzwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye ukombozi wa pili wa Mtanzania,naona malengo yake hayakutimia

watu hawa ndiyo tunawahitaji wanatambua walijikwaa wapi,ukombozi wa pili wakati nchi hii iko huru. Usidanganyike jiulize kwnn watu wanahama chama nasio kufurahia utabaki pekeyako.
 
Hii sera ya kuzuia wananchi kuchangia maendeleo itakiumiza sana chadema mana ndio inayosababisha migogoro katika halmashauri zote zinazoongozwa na chadema. Wananchi wanataka maendeleo chama kinawakataza kuchangia

Kwa hiyo ili tuendelee tunahitaji Viongozi Wezi na Wabadhirifu, Siasa zisizo na mwelekeo, Utekelezaji mbovu wa Sera zisizo na mwelekeo, Ukwepaji kodi kwa wafanyabiashara wakubwa, Viongozi kujilimbikizia mali na Michango ya Walalahoi wasio na kipato kinachoeleweka. Unafaidika na utaratibu mbovu wa hiyo michango fisadi wee!
 
watu hawa ndiyo tunawahitaji wanatambua walijikwaa wapi,ukombozi wa pili wakati nchi hii iko huru. Usidanganyike jiulize kwnn watu wanahama chama nasio kufurahia utabaki pekeyako.

Hivi kumbe walimu wa UPE bado wapo? Mwl. Sima omba fursa ya kujiendeleza kielimu kidogo. Kupewa nafasi ya ajira kupitia UPE siyo ukombozi ni kupunguza njaa...
 
aliwahadaa wananchi kwa ahadi hewa kedekede
CCM huwa hawawahadai wananchi na ahadi hewa,JK katika uchaguzi uliyopita alitoa ahadi zaidi ya 1000,je unalijua hili?Je unajua kati ya hizi ametekeleza ngapi?
 
Hii imani kuwa maendeleo yanaletwa na serikali ni imani mufilisi kabisa

Kwa hiyo Serikali kazi yake ni nini? Umeishia darasa la ngapi mkuu unyankhe? Hivi unadhani barabara, shule, huduma za afya ni jukumu la diwani pekee mbunge au wewe na mkeo? Hizo ahadi za nyakati za kampeni huwa ni BED TIME STORIES siyo? Ndo maana mkoa wenu unabaki kuwa source ya mahouse girls, shamba boys na barmaids kwenye miji ya wenzenu. Nenda shule ukajifunze majukumu ya serikali na raia katika kujenga nchi sio kuleta Nonesense kwenye jukwaa la wasomi!
 
Wanabodi;

Muda huu naona maandishi yakipita chini ya TV yangu yakiwa na maneno "DIWANI WA ISEKE CHADEMA AJIUZULU".

Swali ninalojiuliza hapa ni kuwa mbona wakati CDM wanafanya mambo mazuri hawawekwi kwenye Headlines. Mfano, Mh. Godbless Lema aliposhinda kesi yake, TBC1 haakuiona hii kama habari.

Pia pale viongozi au makada CCM wanapojiuzulu au kujiunga na vyama vingine mbona TBC hawaziweki kama habari.

My Take:
Kwa propaganda hizi za TBC1, ni bora kituo hiki kikawa chama cha siasa kuliko kuyafanya haya chini ya kivuli cha CCM.

Source: TBC1 - Asubuhi
 
Mgurugenzi aliengia pale Baada ya kung'olewa Tido ni Mbumbumbu wa maslahi ya taifa na mbinafsi anaetetea tumbo na ajira yake akiacha uzalendo.

From the bottom of my heart sielewi nilini nimeangalia kituo hiki.

TBC kwa ujumla wake imebakia pango la ccm kujinafasi ni kitelevision kinachowakilisha na kutetea maslahi ya ccm sio Taifa la Tanzania kwa maana ya watanzania.

Kituo kimepoteza alama na uhalali wa kuwawakilisha watanzania wote kwa fulsa sawa wafanyabiashara, wakulima kwa wafanyakazi- HAKINA SIFA KABISA.
 
Back
Top Bottom