Singida: Diwani wa kata ya Iseke ajiuzuru

Singida: Diwani wa kata ya Iseke ajiuzuru

Diwani alichongea namcot kutoka RADIO FREE AFRICA "UONGOZI WA CHAMA HAUTAKI TUSHIRIKIANE NA VIONGOZI WA SERIKALI KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO, TULIKUWA TUMEANDAA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA ILI TUKAMILISHE UJENZI WA SHULE ZETU AMBAZO KUNA WANAFUNZI WALISHINDWA KUENDELEA MASOMO KUTOKANA NA UHABA WA VYUMBA MWAKA JANA NA MWAKA HUU TUNATEGEMEA KUPATA WANAFUNZI WAPYA. KATIKA HARAMBEE TULIYOANDAA MGENI RASMI ALIKUWA Mh MAGUFULI. CHA KUSHANGAZA UONGOZI WA CHAMA ULINIKATAZA NA KUNISHAURI NA KUPENDEKEZA IKIWEZEKANA TUMPENDEKEZE ASKOFU YOYOTE AWE MGENI RASMI NA UONGOZI UKAHAHIDI KUTUPA SAPOTI YA HALI NA MALI". My take ndg zangu viongozi wengi walioshika nyadhifa muhmu na wabadhifu wameindeleza kaskazn hasa arusha na kilimanjaro ambao wanajiita wenye chama. Tukiendeleo kuwasikiliza na kutii amri zao ambazo ni sumu kwa maeneo tutokayo tubaki daima nyuma.
 
Aliyekuwa Mh. Diwani kata ya Iseke Tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi AMOS RUBEN MUGHENYI CHADEMA ameamua kujiuzulu nafasi hiyo kutokana sera za CHAMA za kutokuchangia maendeleo zilizoanzishwa na CHADEMA.
ndugu zangu mnahangaika hv we mwalim matatizo yako ushashughulikia??? hebu kashike chaki
 
unajifurahisha. Tumetoka jimboni kwa lissu hata wiki haijaisha. Lissu ni maarufu sasa kuliko wakati wowote huko jimboni kwake. Ccm hawawezi hata kufanya mikutano jimboni kwa lissu.

Btw: Huyu diwani hakuwa jimbo la lissu. Alikuwa wa singida magharibi wakati jimbo la lissu ni la mashariki.

kwa hiyo amenunuliwa na chemba la choo?.huyo ni bogus tu miradi ya wananchi inatekelezwa kupitia ofisi ya ded/halmashauri na diwani ni mshauri na mfuatiliaji wa miradi na siyo karani wa kukusanya michango.sehemu ambayo madiwani wanalilia kukusanya michango toka kwa wananchi kuna ufisadi wa hatari maana madiwani wanageuka kuwa wahasibu na accounting officer
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Aliyekuwa Mh. Diwani kata ya Iseke Tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi AMOS RUBEN MUGHENYI CHADEMA ameamua kujiuzulu nafasi hiyo kutokana sera za CHAMA za kutokuchangia maendeleo zilizoanzishwa na CHADEMA.

CHADEMA haijawahi, wala haina mpango wa kuanzisha sera za hivo...
 
KATIKA HARAMBEE TULIYOANDAA MGENI RASMI ALIKUWA Mh MAGUFULI. .

Hebu tusaidiene hapo kwenye red: Hivi ingekuwaje, mfano, Diwani wa CCM aandae hafla na kumualika kiongozi wa CHADEMA kama mgeni rasmi? Huyo Diwani mbona kama naona alikuwa anatafuta pa 'kutokea'?
 
Singida Bwana!
Wanataka wabunge wanaoleta misaada kama Nyalandu na MO.Uneona wapi ukijiletea maendeleo kwa kujichanigha inakataliwa?Au ni ile michango ya kutijirisha watendaji?Tundu lissu si mfadhili bali ni Muelimisha umma kutambua haki zao kisha kujiletea maendedeleo wenyewe.Kama walisubiri awaletee misaada watangoja sana.Walioelimika ndo hawo wanatimua vumbi wanadai na kutetea haki zao na za wengine.
Singida imekuwa nyuma kimaendeleo kwa muda mrefu kutokana na wanasiasa wengi wanobebewa na serikali ilihali hawana msaada kwa wananchi wao.Usiwadanganye wananchi na misaada midogo huku ukiwaingiza kwenye matatizo makubwa.CDM kuna democrasia awapishe wengine waendeleze sebene la maendeleo,Magamba wanatumia pesa walizozalisha kutokana na utajiri wetu.2015 si mbali,sijui watakimbilia wapi!
 
Umejiandikia tu or umetafakari kwanza as a GT ndio ukaandika!

Mkuu Rejao,
Nimetafakari tena sana tu. Vipi na wewe umejiandikia tu or umetafakari kwanza as a GT?
 
Last edited by a moderator:
Aliyekuwa Mh. Diwani kata ya Iseke Tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi AMOS RUBEN MUGHENYI CHADEMA ameamua kujiuzulu nafasi hiyo kutokana sera za CHAMA za kutokuchangia maendeleo zilizoanzishwa na CHADEMA.

Huu udaku hapa si mahala pake
 
Kama hiyo ndo sababu yy aende tu. Hao ndo hatuwataki chamani. Yy kama alijiandaa kula michango ya wananchi
serikali inapeleka fedha za Maendeleo sio lazima mchangishe wanafunzi wa wazazi ili wasome ilihali sera ya elimu inakataza michango mashuleni. nao wengi ni walimu wakuu ndo wenye huo uroho wa fedha wananchi.
 
Kwani kazi ya diwani ni kuitisha michango....hiii mpya sijawabi sikia popote....nenda salama wananchi walichagua chama sio mtu....2015 labda atapewa u dc
 
Nilipenda kufahamu wasfu wake kabla hajaingia CDM alikuwa chama gani? Diwani ameacha sekondari ngapi za kata?
Mkoa wa Kilimanjaro wanachangia mpaka mifereji kilimo kwanza,Singida mnashangaza mko hoi !
 
kwanini tunakimbilia kusema amenunuliwa na ccm? Kwanini hatuangalii matatizo yetu ya ndani? Huu ni ulimbukeni.
wee masalia tuliza mzuka, kaa pembeni tupite sie, M4C haichagui njia, tunakatiza hadi vichochoroni, kumbuka M4C sio PM7
 
Back
Top Bottom