JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,308
- 5,462
Basi la Kampuni ya Falcon lililokuwa safarini kutoka Tarime kwenda Jijini Dar es Salaam limepata ajali usiku wa kuamkia leo Jumamosi Aprili 02, 2022 maeneo ya Shelui Iramba Mkoani Singida baada ya kugonga Lori kwa nyuma. Idadi ya majeruhi bado haijafahamika.
Taarifa zaidi zinafuata...
Chanzo: Dar Mpya
Taarifa zaidi zinafuata...
Chanzo: Dar Mpya