Basi la ABC ladaiwa kupata ajali maeneo ya Chinangali

Dec 2, 2023
19
28
Basi ilo linafanya safari zake kutoka Singida kuja DSM limepata ajali maeneo ya Chinangali kwa kugongana uso kwa uso na lori.

Hali ya majeruhi sina idadi kamili ila kifo mpaka sasa ni kondakta.

Taarifa zaidi wataleta watu wenye mamlaka.

IMG_20231213_010616_871.jpg

IMG_20231213_010616_421.jpg
 
Basi ilo linafanya safari zake kutoka singida kuja dsm limepata ajali maeneo ya chinangali kwa kugongana uso kwa uso na lori

Hali ya majeruhi sina idadi kamili ila kifo mpk sasa ni kondakta


Taarifa zaidi wataleta watu wenye mamlaka
Poleni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom