Basi kampuni ya Kilimanjaro Express lapata ajali

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
525
1,182
Basi linalofanya safari zake kati ya Dar kwenda Arusha limepata ajali maeneo ya Himo.

Chanzo cha ajali hiyo ni basi la Kilimanjaro lililokuwa linajaribu kupita Lori bila tahadhari na kukutana na Lori jingine uso kwa uso. Ili kuepusha madhara dereva wa basi hilo aliamua kulipeleka kulia zaidi na kwenda kugonga frem za nyumba eneo hilo.

Mpaka sasa sina taarifa za uhakika, ila wenye mamlaka watakuja kutoa wenyewe.

IMG_6590.jpg
 
Basi ilo linalofanya safari zake kati ya dsm kwenda Arusha limepata ajali maeneo ya himo.

Chanzo cha ajali
Basi la Kilimanjaro lilikua linajaribu kupita Lori bila tahadhari na kukutana na Lori jingine uso kwa uso.
Ili kuepusha madhara dereva wa basi ilo aliamua kulipeleka kulia zaidi na kwenda kugonga frem za nyumba eneo ilo

Madhara

Mpaka sasa sina taharifa za uhakika ila wenye mamlaka watakuja kutoa wenyewe View attachment 2687710
Pole Kwa wahanga
 
Kununua mabasi ya abiria bora kulima vitunguu
 
Kilimanjaro wanashida gani mwezi uliopita wamepata ajali na kuua mke na mume hapo barabara ya Mwanga - Same leo tena karibu na eneo lile lile.

Mabasi mabovu/yamechoka, madereva hawalipwi mishahara au ni hujuma tu?
 
Ukitaka kukwepana na raha za duniani nunua basi la abiria.

Ukikosea ukanunua mabasi kabla hujao au hujaolewa unaweza kushindwa hata kuzaa ukiwaza hasara , madeni, usumbufu na wizi ndani ya basi na nje ya basi.
 
Juzi kati kampuni ya MM8 basi lao lililokuwa limesalia baada ya lile lingine kuungua moto wiki iliyopita nalo lilipata ajali.

Piga picha hali ya mkurugenzi huko alipo
 
Kilimanjaro wanashida gani mwezi uliopita wamepata ajali na kuua mke na mume hapo barabara ya Mwanga - Same leo tena karibu na eneo lile lile.

Mabasi mabovu/yamechoka, madereva hawalipwi mishahara au ni hujuma tu?
kwa nini huongelei barabara ?

kama hujawahi kuendesha hata gari dogo kutoka mkoa kwenda mkoa huwezi kuelewa

highway zetu ni single lane, kila baada ya dakika tano kumi dereva unalazimika kufanya life and death decision ya ku overtake... nchi nyingine katikati ya barabara kuna barrier.... hakuna overtake za kukutana uso kwa uso na gari la upande wa pili... tatizo moja kubwa ni barabara
 
Basi linalofanya safari zake kati ya Dar kwenda Arusha limepata ajali maeneo ya Himo.

Chanzo cha ajali hiyo ni basi la Kilimanjaro lililokuwa linajaribu kupita Lori bila tahadhari na kukutana na Lori jingine uso kwa uso. Ili kuepusha madhara dereva wa basi hilo aliamua kulipeleka kulia zaidi na kwenda kugonga frem za nyumba eneo hilo.

Mpaka sasa sina taarifa za uhakika, ila wenye mamlaka watakuja kutoa wenyewe.

View attachment 2687710
Kwa muonekano wa picha hapo dereva wa bus haja overtake. Alikuwa upande wake. Inawezekana kuna gari ili overtake toka upande mwingine ndipo akaitoa zaidi kwani kulikuwa na roli lililosimama hapo kushoto kwake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom