Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Yani hadi huwa najiuliza wakata mauno kama wale kwenye daladala huwa wana ndoa zao kabisa na wanawafundisha watoto wao maadili inavyopasa ilihali wenyewe hukata mauno hadharani mbele za watoto wao?Mkuu nashindwa cha kukoment kwenye hili, maana linaathiri tamaduni za baadhi ya makabila hasa ukanda wa Pwani.
Usifananishe bongo fleva na vitu vya kijinga.Kwani miziki ya mondi harmonise nk inafundishaa jamii yte Sawa tu na singeli
Ova
Basata hata hizo video za singeli mfano snura jamani jamani dada ana balaa huyu video zake sasa, ni heri arudi kuigiza, wanazioitishaje basataHahaaa... huwa najiulizaga hivi wale Basata wanatumiaga vigezo gani kuruhusu nyimbo kama hizi zipigwe mitaani bila ya kuzifungia?
Ndefu zinakataa kupandishika.Umeweka kidogo sana amu.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Me naendaga nakitorch hazichelewi kutokea fujo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe umekula chumvi mzee mwenzangu, wewe ni mkongwe mwenzangu, nimekusoma baba, umenikumbusha mbali sanaTukiwa wadogo kulikuwa na kipindi Radio Tanzania cha Muziki wa Mwambao, mama alikuwa anakipenda sana kile kipindi, na miziki ile ilikuwa burudani sana.
Nakumbuka zile za Njiwa, Dereva wa Mashua.
Mziki mwingine nimeshindwa kuuelewa/kuuzoea ni taarabu
Unaanzaje kumponda Meja kunta.Hahaha, nakumbuka mlinishambulia kwenye uzi wenu wa majonzi wa Marehemu Meja Kunta.
Nilikoment tofauti na nilivyokoment leo?
Mi Mxhosha weweNi wivu tu , singeli hiko vzr nyie wasukuma ndivyo mlivyo .
Wewe umekula chumvi mzee mwenzangu, wewe ni mkongwe mwenzangu, nimekusoma baba, umenikumbusha mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ishajichokea hii, kwangu nilishamkataza mke wangu kitambo tu aachane na mihemuko ya kiutadawazi kwa kuweka hiyo miziki ya kisasa, la sivyo atavuna watoto wajinga wasiojua hata nini maana ya maadili mema,Basata hata hizo video za singeli mfano snura jamani jamani dada ana balaa huyu video zake sasa, ni heri arudi kuigiza, wanazioitishaje basata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii modern taarabu hii ni shidaMziki mwingine nimeshindwa kuuelewa/kuuzoea ni taarabu
Unaanzaje kumponda Meja kunta.
Mabaharia hawakuelewi [emoji1787]
Kwa taarifa yao mpaka Alicia Keys alicheza singeli.tuache na mziki wetu wa hisia na ujumbe wa kweli
Ndiyo ni wa wahuni.Kwan nimebishaKitu kama hukielewi wewe haimaanishi kwamba kitu hicho ni kibaya!!
Huelewei kausha, tuache 'wahuni' tu enjoy!!
Kwani hizo video zonapitaga basata??Yani unawwlachia watoto waangakie mziki ukisikia wimbo fulani tu unapayuka badilisheni Chanel, hovyo kabisa, hivi basata wanazipitishaje hizi video [emoji329]?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante amu.Ndefu zinakataa kupandishika.
Inasema" file is too large".
Kama umeona ninafuta.
Mbona nyimbo nzuri kabisa hizi, wanacheza vizuri pia.Kinachoniboa zaidi kwenye singeli ni watoto wa kiume kucheza wamebinua matak.o. So disgusting.