Singeli gani inabamba kwenye playlist yako?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,797
Reaction score
60,635
Mimi sio mpenzi sana wa singeli lakini kuna nyimbo za singeli nazipenda sana mfano ni hii ya babu na dogo nigga-uzee mwisho chalinze
Kuna nyingine dulla makabila-mpenzi wako namba ngapi moja
Na mwisho mwanaume mashine by msaga poison
Tupia na zako kali zaidi ya hizo nilizotaja ili nizitafute.ziwe singeli kali kweli kweli
 
Mwanaume Mashine / Mkuyenge.
 
Kuna moja sholo mwamba anaimba majungu kwa man fongo eti ukinpa sisemi mm sio kama yule fungo ukimpa anatangazia, kimeta kapita..mpaka pii kapita hahhaha
 
Back
Top Bottom