Singeli gani inabamba kwenye playlist yako?

Singeli gani inabamba kwenye playlist yako?

Mwanaume Mashine / Mkuyenge.
Wakati naanza kusoma huu uzi moyoni niliskia kama nafsi inaniambia lazima nikutane na comment yako humu mzee wa SAUT tena nikisema SAUT nakosea inabidi nisisitize kijana wa DAFUR uliyetukuka.
 
Snura
Sholo mwamba
Man fongo
Msaga sumu

Na rayvanny ety... [emoji23] [emoji1]
 
Mimi hizo nyimbo zikipigwa tu nahisi kutapika kila nilichokula Siku hiyo.
 
Tatizo mabifu ya ujingaujinga huku sholo mwamba na yule nani Wa tunakulaga, unategemea nini? Na uhuni mwingi
 
Kuna ile ya Mwajuma!!! Daaa... Ule mdundo wake ni hatareeee! Nilikua kwenye kitchen party moja ya uswazi, kuna dogo anaitwa majuma alivyokua anacheza unaweza sema ana ruber band kiunoni!
Kila nikisikia hilo goma pivba ya yule binti inanijia kichwani [emoji3]
 
Back
Top Bottom