Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

Hii case ilikamata watu wengi tu ila ambazo hawakuhusika wakaachiwa,kuna mmasai nyoka wa sharifu ndio hizo line ziliandikwa jina lake alipewa kibano mpka kuvunjwa mguu,hakua anajua chochote alivyoachiwa magereza hakuwahi kuonekana mererani karudi bush kwao tena alisilimu akiwa na sharifu.
Ila kwasasa amerudi kwenye imani yke hata mererani kapasahau
Aseee si mchezo
 
Hatusapoti kuuana ila nyomi la mpango lilizidi..
Watu hata alibi walikua hawana wamekurupuka tu wamenda kufanya ujinga
Ishu ka hyo laini angekua mtu na elimu kdg asingesajili kizembe hivo
Binafsi sishabikii mauaji lkn ,naangalia vile wamebugi, still bado nalipa pongezi jeshi la police
 
Kosa lilikua hapo laini ilisajiliwa lakini ilitumika kwny simu ambayo ina namba ingine...
Wauaji siku zote hufanya mistake kwny mpango kwa kujua au kutokujua

Upo sahihi, Soma post yangu namba 96
 
Hii case ilikamata watu wengi tu ila ambazo hawakuhusika wakaachiwa,kuna mmasai nyoka wa sharifu ndio hizo line ziliandikwa jina lake alipewa kibano mpka kuvunjwa mguu,hakua anajua chochote alivyoachiwa magereza hakuwahi kuonekana mererani karudi bush kwao tena alisilimu akiwa na sharifu.
Ila kwasasa amerudi kwenye imani yke hata mererani kapasahau

Duh hawa hovyo sana, nadhani elimu nayo ilichangia kuratibu haya mauaji.

Huwezi kutumia watu wako waliokuzunguka kuratibu mauaji kwa kufanya usajili wa vitu halali kupitia wao.

By the way nasikia huyu Sharif mke wake aliliwa na Erasto hlf jamaa akawa anatangaza na kujitapa
 
Issue ilipigwa kiimani sana yani aliamini watu wa imani yke mwanzo mwisho,dreva wake ndio alisajili line na kufuata bunduki namanga,jina la kwenye line ni mmasai nyoka wke sharifu hpo case hii inamrukaje,chusa alikua magereza kwa case ya mauaji mgodini kwake,
Kuhusu kuliwa mkewe ni maneno tu ua mtaani hii ilikua beef ya kibiashara
 
Kubugi kulianzia hapo kwenye usajili wa line
 
Issue ilipigwa kiimani sana yani aliamini watu wa imani yke mwanzo mwisho,dreva wake ndio alisajili line na kufuata bunduki namanga,jina la kwenye line ni mmasai nyoka wke sharifu hpo case hii inamrukaje,chusa alikua magereza kwa case ya mauaji mgodini kwake,
Kuhusu kuliwa mkewe ni maneno tu ua mtaani hii ilikua beef ya kibiashara
Mkuu nyoka wake unamaanisha nini.... Nafuatilia kila comment ila hapa mmeniach
 
Nimecheka sana eti polisi walikua kwa mganga wakitibiw na mshtakiwa

Hii mbinu dunia nzima tunayo sisi tu,hapo hata uwe jambazi vipi huchomoki
Nimechekaaaaaa but sijaelewa baada ya kuua waenda je Tibiwa? Au kujikinga wasigundulike
 
Kila mtu anaongea yke ila hii case angehusika nani lazma angefungwa tu,kulikua na upelelezi mzito sana wa watu wengi wa madini waliitwa kuhojiwa na kuachiwa,ila mhusika alipatikana kwa ujinga wa kutoa roho ya mtu,.angekua pesa ndio inatumika sharifu angetoka na kumuacha chusa
Unajua kuna kitu kinanifikilisha.Iweje Sharifu mwenye Pesa atumwe Na chussa asiye Na Pesa za kumfanania??Na aogope Eti angetoka angemuua
Naomba tufafanulie hapo mkuu
 
Aneth ni mwanahaki alitaka kujua haki za kakake hazipotei hovyo; mke wa marehemu ambaye ni wifi yake anaona she is threat...sasa endelea.
Aiseeeew.Ndo Mana huyu mama ukimuona anatoka Mahakamani hana Hata Hofu. yaani anajua alifanya nini
 
Unajua kuna kitu kinanifikilisha.Iweje Sharifu mwenye Pesa atumwe Na chussa asiye Na Pesa za kumfanania??Na aogope Eti angetoka angemuua
Naomba tufafanulie hapo mkuu
Hapo kila mtu anajiuliza kma wewe,istoshe mbna hakuna mtu wa chusa kwenye group lote la mauaji,istoshe hakuna aliemtaja chusa hpo zaidi ya sharifu,kwahiyo wauaji hawamjui chusa
 
Hapo wauaji na waandaji ndio wapuuzi na wajinga
Polisi wao wametumia nguvu, mateso hadi wakatajana. Sharif angetafuta kijana mmoja tu mambo yote yakaishia getini, hapakuwa na haja ya kwenda kia.

Japo Sharif atachomoka
Case kama hii inahitaji mtu mmoja tu
 
Back
Top Bottom