Kikomo na Kufa na kupona vyote nimevisoma na hadi leo siwezi kulala bila kujua siraha nimeiweka wapi, ni sehemu gani takimbilia wakigoga au kuvunja mlango na ni nini takifanya endapo watamkteka mtoto na kuingia nae chumbani kwangu kama kinga yaoimenikumbusha enzi zile nasoma vitabu vya Elvis Musiba R.I.P. kama kikomo, kikosi cha kisasi, uchu najua wengi hawajakisoma hiki ni baada ya mauaji ya kimbari ya Rwanda na vinginevyo vingi jinsi Willy Gamba alivyokuwa anafanya upelelezi na hatimae kuhakikisha watuhumiwa wanakamatwa. Big up Jeshi la polisi kwani machalii wa AR chuga walikuwa wakorofi sana.
Nani kakwambia hawafanyi Kazi? Wanalaumiwa sababu wanakubali kutumika na watawalaDuuuh nimeamini Jeshi la Polisi wanafanya kazi, wanao beza hili jeshi hawajapata matatizo
Huyo ndio marehemu Bilionea Erasto Msuya.Huyo mwenye miwani ya jua ndio nani?
Hawa police wanafanya kazi kwa ukaribu sana na TISS ambao kila sehemu wapo ..hata hapo ulipo wapo!!Kumbe Police Wanapiga kazi hivi???
Rip Msuya
Kubwa unalopaswa kujua siku zote ni kuwa huwa hakuna siri ya watu wawili. Inaweza kudumu kwa muda mfupi au muda fulani lakini lazima itatoka. Sasa idadi yote hiyo ingewezekanaje kutunza siri hiyo. Hata mke mnayekula naye kiapo kanisani siku mkichokana atatoa yote ndio watu watajua kuwa una mikopo na watoto siyo wako ila ni wa rafiki yako kama tulivyoshuhudia juzi ya Muna na Peter kuhusu yule mtoto. Siri huwa ni mtu mmoja basi na wa pili atakuwa ni Mungu. Ndiyo maana huwa nashangaa wanaposema eti siri za serikali. Serikali ni kikundi cha utawala kilichopo kwa muda fulani hivyo hakiwezekani kukawa na siri hasa watunza siri ikiwa ni kwa watu wanaolipwa. Ndiyo maana naamini katika mtiririko huo huo waliomdhuru Lissu ni suala la muda tu tutawajua wote hata kama walirudi kwa msafara wa king'ora. Azori itajulikana tu. Kama makaburi ya halaiki ya miaka ya 40 iliyopita yanajulikana leo itakuwa hao waliompoteza Ben? It's just the matter of time. Time is a very good teacher - Time'll tellIlikuwaje mpaka wakaanza kukamatwa...wapi walikosea?
Hivi ile kesi ya Baro iliishia wapi?Sio kwamba hawapigi kazi ila inategemea hayo matatizo yamemkuta nani!!ukigusa sehemu nyeti wanavyofanya kazi hao FBI,CIA wamesingiziwa!!mfano yale mauaji ya RPC BARO!!ila kama ni mwenzangu na mimi utaanbiwa upelelezi bado tutakwambia!!ndio basi tena
Asikwambie mtu hata polisi/serikali inawangaKumbe Police Wanapiga kazi hivi???
Rip Msuya
Ninachokumbuka atuhumiwa wote walikamatwa hadi ile simu ya marehemu ilikutwa kwenye karo la maji taka!!sasa sijui kama kesi ilifikia wapi ila hadi mwaka juzi hukumu ilikuwa bado!!Hivi ile kesi ya Baro iliishia wapi?
Kweli kabisa, ndo maana kikundi cha MAFIA kilikuwa hatari sana kwasababu walikuwa na viapo vya damu, ukitoa siri unakufa wewe na ukoo wako wote, wakihisi kuwa mwenzao amekuwa soft na anaweza toa siri walikuwa wanamuua haraka, kama mwanachama anateswa ili atoe siri akiona anaanza kuwa soft alikuwa anajiua mwenyewe.Kubwa unalopaswa kujua siku zote ni kuwa huwa hakuna siri ya watu wawili. Inaweza kudumu kwa muda mfupi au muda fulani lakini lazima itatoka. Sasa idadi yote hiyo ingewezekanaje kutunza siri hiyo. Hata mke mnayekula naye kiapo kanisani siku mkichokana atatoa yote ndio watu watajua kuwa una mikopo na watoto siyo wako ila ni wa rafiki yako kama tulivyoshuhudia juzi ya Muna na Peter kuhusu yule mtoto. Siri huwa ni mtu mmoja basi na wa pili atakuwa ni Mungu. Ndiyo maana huwa nashangaa wanaposema eti siri za serikali. Serikali ni kikundi cha utawala kilichopo kwa muda fulani hivyo hakiwezekani kukawa na siri hasa watunza siri ikiwa ni kwa watu wanaolipwa. Ndiyo maana naamini katika mtiririko huo huo waliomdhuru Lissu ni suala la muda tu tutawajua wote hata kama walirudi kwa msafara wa king'ora. Azori itajulikana tu. Kama makaburi ya halaiki ya miaka ya 40 iliyopita yanajulikana leo itakuwa hao waliompoteza Ben? It's just the matter of time. Time is a very good teacher - Time'll tell
Kwenye maelezo Chusa bado anatumikia kifungo cha mauaji mengine ambayo yeye anahisi aliyechoma utambi ama kukoleza moto ni Msuya; ndiyo maana akaona pia na yeye aondoke duniani ndiyo akaamua kufanya mipango ya remote assimilation.Chusa yuko wapi mkuu. Very good narration.