I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,731
- 10,033
- Thread starter
- #61
sijui kwa kweli mkuu.Nazungumzia utaratibu wa miaka 30 nyuma na sio sasa hivi
sijui kwa kweli mkuu.Nazungumzia utaratibu wa miaka 30 nyuma na sio sasa hivi
Kipindi ya 80's mambo ya kuwekewa cannula hayakuwepo hasa ktk zahanati ni si sindano za matako tusijui kwa kweli mkuu.
Hahaa, babu wee nishafika form 3 sahivi, sindano bado ni mtihaniHivi sasa ushadika std 7. Bado unaogopa?
Hahahaaaaaa.Yupo mmoja pale KAIRUKI... alinchoma sindano ya TACKLE.... yaani mpk anamaliza kupress dawa mm sina habari...
HahahahahahaLakini mbona ile sindano yangu huiogopi?
waga naomba kuchomwa na mwanamkeKushikwa tako na mwanaume mwenzio ni jau sana!
🤣🤣🤣🤣🤣 unahisi ataitia ubapa au?Nilichomwa zamani toka nilivyokuwa siwezi tena bora nichomwe ya mkononi kuliko flat yangu
🤣🤣🤣🤣🤣 unahisi ataitia ubapa au?
Jaah kama me yan bora unipe gunia limejaa vidonge kuliko sindano ya tak.. Alaf kuna ma nurse wapenda sifa utasiki wakijiulizisha ivi Mara ya mwisho kupaka mafuta kwenye aya makalio ni Lin ..? Maana yanafanana na vumbi LA chokaa
Sasa yani uko form three afu bado bikira jamani? Unataka hiyo biology izibe?Hahaa, babu wee nishafika form 3 sahivi, sindano bado ni mtihani
Tuko pamojaMARA YA MWISHOI KUCHOMWA ILIKUWA NIKIWA MDOGO... UKUBWA WOTE HUU NIMECHOMWA MKONONI TU
Babu unazeeka vibaya ujue, akili zimerudi utotoni kabisa , mleta uzi kasema zile sindano zinazowekwa dawa kulingana na umri Wa mgonjwa arrghSasa yani uko form three afu bado bikira jamani? Unataka hiyo biology izibe?
Au kwani hapa inazungumziwa sindano ipi???
Hahahaha nisamehe mjukuu. Unajua sisi wazee wa zamani tushazoea kuongea kimafumbo. Kumbe hapa inazungumziwa sindano ya mahospitalini?Babu unazeeka vibaya ujue, akili zimerudi utotoni kabisa , mleta uzi kasema zile sindano zinazowekwa dawa kulingana na umri Wa mgonjwa arrgh
Asante sana nesi kwa kutujulisha hili1- mgonjwa anatakiwa awekwe sawa kisaikolojia na arelax misuli kabla ya kuchomwa sindano
2- kabla ya kumchoma mgonjwa sindano nesi anatakiwa kumtaarifu mgonjwa eneo sindano inapoenda kutua ili asikaze misuli ya sehemu hiyo ili kutosababisha maumivu yasiyo ya lazima
3- sindano inapochomwa inatakiwa kuwa angle 90° na iingizwe kwa haraka kidogo kiasi cha nusu kichuma cha sindano kuzuia kugusa mfupa; dawa inaposukumwa kwa syringe inatakiwa iingizwe taratibu mwilini tofauti na jinsi sindano ilivyo ingizwa mwilini ili kupunguza maumivu.
4- utoaji wa sindano unatakiwa itolewe mwilini ktk angle 90°kama jinsi ilivyoingizwa.
5- mgonjwa kupewa pole na kupongezwa kwa uvumilivu
Hahaaaa, babu wewee enzi zenu kulikua na sindano gani zingine tofauti? ,babu nimekushindwaaaHahahaha nisamehe mjukuu. Unajua sisi wazee wa zamani tushazoea kuongea kimafumbo. Kumbe hapa inazungumziwa sindano ya mahospitalini?
Basi hebu upelekeni huu uzi jukwaa la utabibu...