Sindano za makalioni; wale tusiopenda /waoga wa hii kitu tukutane hapa.

King Mufasa

King Mufasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Messages
472
Points
1,000
King Mufasa

King Mufasa

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2018
472 1,000
Kuna manesi wanakuchoma sindano huku wakisindikiza na maneno mazuuri yenye mvuto "pooooleeee"...... Lakini kuna wale uso wa mbuzi na akikuchoma sindano maumivu yake hayaelezeki halafu inachukua muda sana kupoa
hahaha wanakwambia na maneno kibao ya shombo mpaka unapona
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
2,709
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
2,709 2,000
Duuh, Mimi sindano acha kabisa hata ya kidole ya malaria inakua shida, manesi wanakasirika eti nasumbua , nishawahi kuandikiwa sindano za makalio nilivyokua Mdogo kama std 4 hivi duuh, ukichomwa inabidi upumzike kwanza usimove kwa muda, zinaumaa
 
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
4,656
Points
2,000
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
4,656 2,000
Aisee hii kitu mimi siipendi sio siri. Nikiumwa daktari ni heri kunipa mamia ya vidonge nibugie lakini sio kuchomwa sindano ya tako. Kiufupi siipendi na naiogopa kuliko.
shida sio kuogopa sindano ila kumwachia tako mwanaume mwenzio au nesi wa kike kulishika shika eti achome sindano.
 
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
4,656
Points
2,000
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
4,656 2,000
Mimi nilikuwa mgonjwa nikalazwa hospital kosa daktar alilolifanya ni kuniambia kwamba nitachomwa sindano za makalio saa saba kamili ya usiku. Ilipofika saa sita na nusu nikatoroka
safi kwa kuepuka mchezo mbaya
 
King Mufasa

King Mufasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Messages
472
Points
1,000
King Mufasa

King Mufasa

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2018
472 1,000
Halafu kuna manesi wakikudunga sindano tako linauma balaa sijui wanadungaje.
kuna utaalam wake wa jinsi ya kuchoma mgonjwa sindano na sio kujichomea tu mkuu. Labda huwa hawafuati utafatibu.
 
Smart_dady

Smart_dady

Member
Joined
Aug 7, 2019
Messages
92
Points
125
Smart_dady

Smart_dady

Member
Joined Aug 7, 2019
92 125
Jaah kama me yan bora unipe gunia limejaa vidonge kuliko sindano ya tak.. Alaf kuna ma nurse wapenda sifa utasiki wakijiulizisha ivi Mara ya mwisho kupaka mafuta kwenye aya makalio ni Lin ..? Maana yanafanana na vumbi LA chokaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee hii kitu mimi siipendi sio siri. Nikiumwa daktari ni heri kunipa mamia ya vidonge nibugie lakini sio kuchomwa sindano ya tako. Kiufupi siipendi na naiogopa kuliko.
 
King Mufasa

King Mufasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Messages
472
Points
1,000
King Mufasa

King Mufasa

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2018
472 1,000
Jaah kama me yan bora unipe gunia limejaa vidonge kuliko sindano ya tak.. Alaf kuna ma nurse wapenda sifa utasiki wakijiulizisha ivi Mara ya mwisho kupaka mafuta kwenye aya makalio ni Lin ..? Maana yanafanana na vumbi LA chokaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
2,438
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
2,438 2,000
Waendelee kuwadunga tu hamna namna! Kwani mlitakaje?
 

Forum statistics

Threads 1,325,739
Members 509,278
Posts 32,201,497
Top