Sindano za makalioni; wale tusiopenda /waoga wa hii kitu tukutane hapa.

mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2018
Messages
3,732
Points
2,000
mbaga jr

mbaga jr

JF-Expert Member
Joined May 28, 2018
3,732 2,000
niliwahi kulazwa kwa kuugua HIV mana ilipanda kichwani,
daktar akaniambia matibabu ni mpaka nichomwe sindano ya bambataa langu nikaona isiwe tabu nikaaga kwenda chooni, mpaka leo bado niko chooni.
 
Dinazarde

Dinazarde

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
33,749
Points
2,000
Dinazarde

Dinazarde

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2014
33,749 2,000
Mimi nilikuwa mgonjwa nikalazwa hospital kosa daktar alilolifanya ni kuniambia kwamba nitachomwa sindano za makalio saa saba kamili ya usiku. Ilipofika saa sita na nusu nikatoroka
We huna akili ungesema wakuchome za mishipa mkononi ukatoroka kabisa ehee ulipona
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
17,389
Points
2,000
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
17,389 2,000
Nina miaka 29.
Namshukuru mungu sijaumwa ugonjwa ambao ungesababisha nichomwe sindano
 
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2015
Messages
14,242
Points
2,000
mbalizi1

mbalizi1

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2015
14,242 2,000
Kuna manesi wanakuchoma sindano huku wakisindikiza na maneno mazuuri yenye mvuto "pooooleeee"...... Lakini kuna wale uso wa mbuzi na akikuchoma sindano maumivu yake hayaelezeki halafu inachukua muda sana kupoa
 
MR Kilimanjaro

MR Kilimanjaro

Senior Member
Joined
May 5, 2019
Messages
118
Points
250
MR Kilimanjaro

MR Kilimanjaro

Senior Member
Joined May 5, 2019
118 250
Siku natahiriwa nilifungwa kamba kana ng'ombe ipo machinjioni kisa niliona sindano nikawa nikienda hospitali nikiona sindano hata kama haziruhusu nakimbia nduki hapo inakua tiba kamili nishapona
 

Forum statistics

Threads 1,325,739
Members 509,278
Posts 32,201,497
Top