I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,730
- 10,033
- Thread starter
- #21
hahaha wanakwambia na maneno kibao ya shombo mpaka unaponaKuna manesi wanakuchoma sindano huku wakisindikiza na maneno mazuuri yenye mvuto "pooooleeee"...... Lakini kuna wale uso wa mbuzi na akikuchoma sindano maumivu yake hayaelezeki halafu inachukua muda sana kupoa