Sindano za makalioni; wale tusiopenda /waoga wa hii kitu tukutane hapa.

Kuna manesi wanakuchoma sindano huku wakisindikiza na maneno mazuuri yenye mvuto "pooooleeee"...... Lakini kuna wale uso wa mbuzi na akikuchoma sindano maumivu yake hayaelezeki halafu inachukua muda sana kupoa
hahaha wanakwambia na maneno kibao ya shombo mpaka unapona
 
Aisee hii kitu mimi siipendi sio siri. Nikiumwa daktari ni heri kunipa mamia ya vidonge nibugie lakini sio kuchomwa sindano ya tako. Kiufupi siipendi na naiogopa kuliko.
shida sio kuogopa sindano ila kumwachia tako mwanaume mwenzio au nesi wa kike kulishika shika eti achome sindano.
 
Halafu kuna manesi wakikudunga sindano tako linauma balaa sijui wanadungaje.
kuna utaalam wake wa jinsi ya kuchoma mgonjwa sindano na sio kujichomea tu mkuu. Labda huwa hawafuati utafatibu.
 
Jaah kama me yan bora unipe gunia limejaa vidonge kuliko sindano ya tak.. Alaf kuna ma nurse wapenda sifa utasiki wakijiulizisha ivi Mara ya mwisho kupaka mafuta kwenye aya makalio ni Lin ..? Maana yanafanana na vumbi LA chokaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Aisee hii kitu mimi siipendi sio siri. Nikiumwa daktari ni heri kunipa mamia ya vidonge nibugie lakini sio kuchomwa sindano ya tako. Kiufupi siipendi na naiogopa kuliko.
 
Jaah kama me yan bora unipe gunia limejaa vidonge kuliko sindano ya tak.. Alaf kuna ma nurse wapenda sifa utasiki wakijiulizisha ivi Mara ya mwisho kupaka mafuta kwenye aya makalio ni Lin ..? Maana yanafanana na vumbi LA chokaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom