Sina mtu! nataka mtu?

nicas hana hata girlfriend ! Labda kama kawekwa ndani na jimama

Kweli sina hata girlfriend. Naapa sina kabisa. Nina mke mmoja tu wa ndoa tena ndoa iliyo takatifu............. Bado siruhusiwi kuchangia mada hii?
 
Usicheke mummy... yan mpaka umri huu tushakutana na vimbwanga acha kabisa! Unakuta mkitafutana ni kwa ajili ya kupichuana au shida fulani. Hakuna kutoka walau mkabadilishana mawili.matatu kikazi, kifamilia au kushauriana kuhusu maisha hata kama hamna future. Hapo nikiiulizwa una mtu weeee lazima nitaruka kimanga aisee!!!

ila mbona wengine huwa wanasema ukweli kabisa......mi nakumbuka nilipokuwa chuo nikakutana na msichana fulani na katika kutongozana akanitamkia bila kumung'unya maneno ilikuwa ivi (just part of conversation)

mimi: una mtu?

msichana :sina mtu

mimi: how come binti mzuri kama wewe unakosa mtu and unaishije kwa kukidhi haja zako .

msichana : kutokuwa na mtu haimaanishi sifanyi s.e.x

mimi: ehhhhe!

msichana : yah sina mtu kwa sasa na wala siko kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sasa but i just f.u.ck somebody

mimi : somebody!?

msichana : yah somebody ...ni mtu ambaye ikitokea mimi nina hamu na yeye anahamu na wote tukawa nanafasi basi tunatoka kwa ajili ya s.e.x ila sio mahusiano
 
Mmmh hiyo ilikuwa no ingine kaka
ila mbona wengine huwa wanasema ukweli kabisa......mi nakumbuka nilipokuwa chuo nikakutana na msichana fulani na katika kutongozana akanitamkia bila kumung'unya maneno ilikuwa ivi (just part of conversation)

mimi: Una mtu?

Msichana :sina mtu

mimi: How come binti mzuri kama wewe unakosa mtu and unaishije kwa kukidhi haja zako .

Msichana : Kutokuwa na mtu haimaanishi sifanyi s.e.x

mimi: Ehhhhe!

Msichana : Yah sina mtu kwa sasa na wala siko kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sasa but i just f.u.ck somebody

mimi : Somebody!?

Msichana : Yah somebody ...ni mtu ambaye ikitokea mimi nina hamu na yeye anahamu na wote tukawa nanafasi basi tunatoka kwa ajili ya s.e.x ila sio mahusiano
 
si kheri hata ingekuwa na bacteria. Hiyo ina virusi kabisa. Staki kuharisha bana.

Kama vipi twenzetu kempiski.
mbeb endelea kutafuta location mi ngoja nilale kesho naenda kupiga signature ya mwisho job.kuna watu hawataki niondoke wananiletea vimeo kibao nataka nivipangue nitakupm jtano nikiwa free maana kesho nakesha huko
 
Back
Top Bottom