Sina mtu! nataka mtu?

Sina mtu! nataka mtu?

una mtu.
Lakini hii haikuzuii kuangalia kama mtu uliye nae ana mpango wowote na wewe au lah.
Pengine kuondoa mkanganyiko huu ni bora kama ukiona haeleweki ukaachana nae mapema hili ujue kabisa wewe ni single.

Lakini kumkubalimwingine wakati ujavunja mahusiano ya zamani pengine ni un fair na inaweza ikakuletea tatizo.

kuna fair dunia hii kweli?
 
mpo mpo kivip? kwan kama unataka kuolewa/kuoa si unamwambia huyo mtu mi kwa sasa nataka uhusiano uende next stage! akikataa ndo uamue kuachana naye na kuwa na mwingine! sababu hata huyo aliyekutongoza afu umkubalie and then siku nyingine akukute na huyo ambaye mnasema tupotupo ndo umwambie eti hapa hamna kitu ila huyu tupo tupo unafikiri atakuelewa?
 
acha kunitega bwana
hebu tuone kwanza structure ya kupendana ikoje!

friendship... 1

courtship.... 2

marriage.... 3

family..... 4.

sasa Smile hebu niambie,

uko wapi kwa mfano kwa jinsi ulivyoeleza wewe na unataka ku-move kwenda wapi?
 
Keyser Söze;8115997 said:
mpo mpo kivip? kwan kama unataka kuolewa/kuoa si unamwambia huyo mtu mi kwa sasa nataka uhusiano uende next stage! akikataa ndo uamue kuachana naye na kuwa na mwingine! sababu hata huyo aliyekutongoza afu umkubalie and then siku nyingine akukute na huyo ambaye mnasema tupotupo ndo umwambie eti hapa hamna kitu ila huyu tupo tupo unafikiri atakuelewa?
hivi mwanamke anaruhusiwa kumwambia mwanaume tufunge ndoa? hata ukimwambia si atasema tu subiri mbeleni? nA HUKO MBELENI NANI AJUAE
 
saa zingine kama upo kwenye uhusiano ambao huoni future mtu yupoyupo tu na anakomaa na ushumba sugu, mdada unatakiwa kwanza jiridhishe kuwa kweli hapo hakuna future yeyote, na wewe mwenyewe pia uwe tayari kuwa mke sio tena usista duu unauzidisha. Kama unajiamini kuwa upo tayari kuwa mke halafu jamaa hesabu zake hazijumlishiki basi kama anakuja mwingine na UNAAMINI kuwa ana malengo mazuri wewe basi KULA KICHWA tu.
 
ndio anaweza? we unakuta mmekaa kwenye uhusiano muda mrefu na kila kitu kiko sawa! kwa nn asiulize kwa nn hatufungi ndoa?
 
saa zingine kama upo kwenye uhusiano ambao huoni future mtu yupoyupo tu na anakomaa na ushumba sugu, mdada unatakiwa kwanza jiridhishe kuwa kweli hapo hakuna future yeyote, na wewe mwenyewe pia uwe tayari kuwa mke sio tena usista duu unauzidisha. Kama unajiamini kuwa upo tayari kuwa mke halafu jamaa hesabu zake hazijumlishiki basi kama anakuja mwingine na unaamini kuwa ana malengo mazuri wewe basi kula kichwa tu.
teh halafu jamaa akija kukuuliza unasema ulilazimishwa na wazazi
 
jamani heri ya sikukuu !nimewamiss sana majukumu mengi
leo wandugu naombeni mnisaidie juu ya hili,
assume relation status yako ni single hujaoa au kuolewa....lakini upo kwenye mahusiano yasiyo rasmi mpenzi mpenzi tu hajulikani kwa wazazi au hata kama anajulikana sio official! ILA MNAPENDANA
ikitokea umetokewa na mtu mwingine ni sawa kusema kuwa una mtu?au unakataaa au unyamaze tu uchekecheke umpotezee kimya kimya? maana in real sense hapa kuna mtu kweli?
na nyie wakaka mdada akikuambia hana mtu sio kwamba nafasi ipo!

Smile,
Kiukweli kama uko katika mahusiano ni kwasababu umekubaliana na hali hiyo, umetathimini katika vigezo vyako na kumkubali huyo mtu uliyenaye. Lakini hakuna mahusiano yasiyo na direction, Na Direction mnaset toka mwanzo wa mahusiano yenu .Sio katikati ya mahusiano unaanza kuuliza direction!!
Kitu cha Msingi kwa sasa unatakiwa kujua msimamo wake katika mahusiano hayo.

Usibahatishe katika mahusiano, huyo mtu mpya mwambie ukweli kuwa una mtu japo bado hamjapeleka uhusiano wenu katika level nyingine. Kama ni mtu serious utamjua tu. Anayetaka hachoki.
 
sahv ni bora tu umuulize huyo mtu anaemuulizia ni wa aina gan maana kunamakundi mengi ndani ya mahusiano (si kwa wote) kuna rafiki wa faida, kuna kitulizo cha muda, kuna wanaolenga ndoa. Hvyo anapouliza unamtu awe anaeleza kundi analotaka kuingia.
 
dah kwahiyo akisema yupo single kwanini nisijaribishe bahati nasibu yangu jamani?
 
ila mbona wengine huwa wanasema ukweli kabisa......mi nakumbuka nilipokuwa chuo nikakutana na msichana fulani na katika kutongozana akanitamkia bila kumung'unya maneno ilikuwa ivi (just part of conversation)

mimi: una mtu?

msichana :sina mtu

mimi: how come binti mzuri kama wewe unakosa mtu and unaishije kwa kukidhi haja zako .

msichana : kutokuwa na mtu haimaanishi sifanyi s.e.x

mimi: ehhhhe!

msichana : yah sina mtu kwa sasa na wala siko kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sasa but i just f.u.ck somebody

mimi : somebody!?

msichana : yah somebody ...ni mtu ambaye ikitokea mimi nina hamu na yeye anahamu na wote tukawa nanafasi basi tunatoka kwa ajili ya s.e.x ila sio mahusiano

dah.... Huyu mkareeee!!!!!!!!!!!!!!
 
always mwanamke wa mtu yuko kwa mtu swala ni kuonyesha seriousness mwanamke ajuae uko realy,kwani some times unakuta huyo mwanaume wako ana mwanamke mwingine ,kwako yupo tu ndioo maana afanyi chochote hata kuja kujitambulisha kwenu,akija huyo mwingine kama yupo real picha chini huyo anza maisha mapya....
 
mpaka unapokuwa na ndoa ndio unaruhusiwa kusema una mtu otherwise unaweza kujifungia bahati bure, wanawake/wanaume wote hawaeleweki
 
always mwanamke wa mtu yuko kwa mtu swala ni kuonyesha seriousness mwanamke ajuae uko realy,kwani some times unakuta huyo mwanaume wako ana mwanamke mwingine ,kwako yupo tu ndioo maana afanyi chochote hata kuja kujitambulisha kwenu,akija huyo mwingine kama yupo real picha chini huyo anza maisha mapya....
 
Mahusiano yasiyokuwa na mwanga mbele si mahusiano, mwendo wa single labda siku nikichumbiwa huku harufu ya ndoa nikiisikia ndo ntasema niko kwenye mahusiano.
 
Back
Top Bottom