Sina mtu! nataka mtu?

Sina mtu! nataka mtu?

jamani heri ya sikukuu !nimewamiss sana majukumu mengi
leo wandugu naombeni mnisaidie juu ya hili,
assume relation status yako ni single hujaoa au kuolewa....lakini upo kwenye mahusiano yasiyo rasmi mpenzi mpenzi tu hajulikani kwa wazazi au hata kama anajulikana sio official! Ila mnapendana
ikitokea umetokewa na mtu mwingine ni sawa kusema kuwa una mtu?au unakataaa au unyamaze tu uchekecheke umpotezee kimya kimya? Maana in real sense hapa kuna mtu kweli?
Na nyie wakaka mdada akikuambia hana mtu sio kwamba nafasi ipo!

una mtu.
Lakini hii haikuzuii kuangalia kama mtu uliye nae ana mpango wowote na wewe au lah.
Pengine kuondoa mkanganyiko huu ni bora kama ukiona haeleweki ukaachana nae mapema hili ujue kabisa wewe ni single.

Lakini kumkubalimwingine wakati ujavunja mahusiano ya zamani pengine ni un fair na inaweza ikakuletea tatizo.
 
Dah, kisa hajajitambulisha ndio umkane? Then ukishamkana unamkubali wa pili? Wa kwanza utapiga chini au inakuaje? Au list itaendelea na mzigo watapiga hadi mmoja wao ajitambulishe kwenu? Kwanini usichukue hatua ya kuhoji uelekeo wa uhusiano?
 
Mmmh hiyo ilikuwa no ingine kaka

haikuwa 'NO' kwani mbona niling'oa mzigo ......

ujue mara ya kwanza niliingia kwa gia kwamba nimemuelewa so nimefika bei nataka nijitwishe mzigo mazima

ila pindi maongezi yalivyokuwa nikaja realize hakuwa tayari kwa aina hiyo ya mahusiano japo hata yeye alinielewa na ndomana alinipa hata hio chance ya kudiscuss haya maswali tena ilikuwa mbali na home and was usiku mnene

na kama unavyojua mwanaume wa kweli ni kama amesoma psychology so baada ya kugundua anataka nini nilichofanya ni kwenda sawa naye...

mimi: i can replace or be such somebody..what do you think about it?

msichana : i don't think so! ujue 'J' kila nikikusikiliza naona kabisa unanipenda na hata macho yako yanaonesha ..you are in love with me...na mi siko tayari kwa sasa with these relationship stuffs....sijui kupigiana simu uko wap? unafanya nini ? mbona simu, meseji yangu hujapokea, hujanijibu au mbona unatembea sana na huyu na wivu mwingine wa kijinga

mimi: its just the matter of agreement ,if you dont want all of those ....you don want ....so why nikulazimishe kufanya kitu usichotaka i promise you havitatokea hivyo vitu and on top of that i know how to behave in a relationship like this so don't tell me what i suppose to do while i know the duties and responsibilities of mine

msichana: so you tell me you know that will be between me and you...
 
upo right am strong kila kitu ni kweli huanzia point ziro...ila kumbuka kumove from ziro ni decision ya watu wawili wewe unaweza kuwa hutaki kukaa kwenye ziro ila mwenzio hataki kutoka hapo lakini mambo yote yapo ok mnapendana nk ..but mpo mpo tu sasa akitokea mtu anaetaka kumove hataki kukaa kwenye ziro?

hebu tuone kwanza structure ya kupendana ikoje!

friendship... 1

courtship.... 2

marriage.... 3

family..... 4.

sasa Smile hebu niambie,

uko wapi kwa mfano kwa jinsi ulivyoeleza wewe na unataka ku-move kwenda wapi?
 
Last edited by a moderator:
Umesalimika Smile??

Unatupa shida sana mimi na bibi yako....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Wa Ukweeeh . . . . amenyokaaaazzzzz, kama vipi Nyani Ngabu ujipange upya.
Smile inakuwaje mtu wangu? Umenitosa?

20131215_044711-1.jpg
 
jamani heri ya sikukuu !nimewamiss sana majukumu mengi
leo wandugu naombeni mnisaidie juu ya hili,
assume relation status yako ni single hujaoa au kuolewa....lakini upo kwenye mahusiano yasiyo rasmi mpenzi mpenzi tu hajulikani kwa wazazi au hata kama anajulikana sio official! ILA MNAPENDANA
ikitokea umetokewa na mtu mwingine ni sawa kusema kuwa una mtu?au unakataaa au unyamaze tu uchekecheke umpotezee kimya kimya? maana in real sense hapa kuna mtu kweli?
na nyie wakaka mdada akikuambia hana mtu sio kwamba nafasi ipo!

Sasa sisi yanatuhusu nini haya?
 
Usicheke mummy... yan mpaka umri huu tushakutana na vimbwanga acha kabisa! Unakuta mkitafutana ni kwa ajili ya kupichuana au shida fulani. Hakuna kutoka walau mkabadilishana mawili.matatu kikazi, kifamilia au kushauriana kuhusu maisha hata kama hamna future. Hapo nikiiulizwa una mtu weeee lazima nitaruka kimanga aisee!!!

Kweli aisee hapa hauna mtu....
 
jamani heri ya sikukuu !nimewamiss sana majukumu mengi
leo wandugu naombeni mnisaidie juu ya hili,
assume relation status yako ni single hujaoa au kuolewa....lakini upo kwenye mahusiano yasiyo rasmi mpenzi mpenzi tu hajulikani kwa wazazi au hata kama anajulikana sio official! ILA MNAPENDANA
ikitokea umetokewa na mtu mwingine ni sawa kusema kuwa una mtu?au unakataaa au unyamaze tu uchekecheke umpotezee kimya kimya? maana in real sense hapa kuna mtu kweli?
na nyie wakaka mdada akikuambia hana mtu sio kwamba nafasi ipo!

fanya kama wanawake wenzako. Ukitokewa na mtu ambaye humtaki, mwambie una mtu.
Ukitokewa na unayemtaka mwambie huna mtu, unasubiri mtu ambaye yuko tayari kuchumbia.
 
Hatariii aisee ungekua karibu yangu nngekupiga ngumi jiwee! Unahalalisha duh

hahaha hiyo ngumi ungempiga nani wakati tayari nitakuwa nilishakutongoza na umeshaanza kulainika lol. na tena kama hiyo avatar yako ndio wewe loh
 
Haaaa haaa Majombaz bana! Le Baharia yuko na Totoz wa Ukwwweee! Aliyenyokaz.

Majuuu mtasubiri sana.
ahahaaa hivi harusi lini? nasikia vodacom na aiirtel wanagombania udhamini wa hiyo harusi teh teh le mutuz noooma!
 
Back
Top Bottom