utajuaje anaeleweka sasa?
jamani heri ya sikukuu !nimewamiss sana majukumu mengi
leo wandugu naombeni mnisaidie juu ya hili,
assume relation status yako ni single hujaoa au kuolewa....lakini upo kwenye mahusiano yasiyo rasmi mpenzi mpenzi tu hajulikani kwa wazazi au hata kama anajulikana sio official! ILA MNAPENDANA
ikitokea umetokewa na mtu mwingine ni sawa kusema kuwa una mtu?au unakataaa au unyamaze tu uchekecheke umpotezee kimya kimya? maana in real sense hapa kuna mtu kweli?
na nyie wakaka mdada akikuambia hana mtu sio kwamba nafasi ipo!
ajhahaaaa tutapumulia mashine hivohivo anofelesi wangu ..tufanyeje ? Uchumba miaka 10?
Jibu swali pls
mtu gani sasa jamani?....mnh Smile,....kabla sijakujibu naomba uchungulie hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/370806-friends-with-sex-benefits.html
Mjibu ukweli tu kuwa una Mtu hata kama hujaamua kuji commit nae.
Anae eleweka ni rahisi sana kumtambua,
mtu gani sasa jamani?
ongea naye...mweleze hisia zako na umwambie kama hana malengo awe tayari nafasi yake kuchukuliwa!!! suluhisho ni kuuvunja ukimya tu...upo right am strong kila kitu ni kweli huanzia point ziro...ila kumbuka kumove from ziro ni decision ya watu wawili wewe unaweza kuwa hutaki kukaa kwenye ziro ila mwenzio hataki kutoka hapo lakini mambo yote yapo ok mnapendana nk ..but mpo mpo tu sasa akitokea mtu anaetaka kumove hataki kukaa kwenye ziro?
acha kunitega bwana
Actually 1+1=11
Been off that kush for a minute now. But I'm finna go back on it.
Aaah mbebs mi nikinywa mbege ntaharisha bana.
Niandalie Alizé au Pinot Grigio.
KumbeKama haeleweki ntasema tu sina mtu mana haina maana uwe na mtu yupoyupo kama hayupo.