Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,329
- 3,399
Nitakwambia ukweli ambao watu hawakwambii humu, shida yako kubwa ni kwamba una fake maisha na personality. Hutumii hivyo usivyotumia sio kwa sababu hutaki, ni kwa sababu kuna taswira unataka watu wakuone unayo... sio kwa sababu ndivyo ulivyo.
Ukiona lifestyle unayoishi inakunyima amani ujue una fake. Mimi nilikua na ndugu yangu alikuwa na lifestyle ambayo ndiyo ilipelekea kifo chake..m aliuawa. Kuanzia pale nikawa naishi maisha ya kutaka kuwa mkamilifu, sinywi pombe, sivuti bangi wala sigara au kufanya chochote.. kuna namna, bila kujua nilikua naishi kwa kutaka kusahihisha 'makosa' ya ndugu yangu nionekane mkamilifu kwa mama. Machoni kwa watu nilionekana kuwa kijana bora lakini sio maisha yaliyokua yananipa amani ya moyo... nilikua najishtukia kama wewe saivi.
Ilifika kipindi nikachoka kuigiza, nikajaribu baadhi ya vitu nilivyokua naona sio sawa... kuna amani niliipata ambayo nilikua naikosa kwa kuishi maisha ya kuigiza, bro aliishi maisha yake vizuri kabisa hakufake hata kidogo. I wish angekua hapa leo, ningem judge less na kumpenda more.