min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,262
- 127,176
😆😆😆 I'd yangu ipotezee tuHii nyuzi ndiyo ile ID yako nyingine uliyosema ulijisahau nayo siku moja ulivyolewa?
Nipo majukumu tu na naona watu wa NRNE wametukataza kuandika mada zetu za utamu wanasema tunalipwa na TISS, acha mie na Nusratt wangu tupause kidogo 😂 😂 😂 😂 .