Sina kilevi, nichagulie

Sina kilevi, nichagulie

Hii nyuzi ndiyo ile ID yako nyingine uliyosema ulijisahau nayo siku moja ulivyolewa?

Nipo majukumu tu na naona watu wa NRNE wametukataza kuandika mada zetu za utamu wanasema tunalipwa na TISS, acha mie na Nusratt wangu tupause kidogo 😂 😂 😂 😂 .
Kabisa mwenzangu
Sasa hv tumepewa kitengo nyeti
 
Sio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.

Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
Kimsingi ww siyo binadamu ni mpita njia tu.
 
Hang on, inaitwa depersonalization na derealisation. Inaweza kukutafuna au kukufanya kuishi ndoto zako the choice is yours
mkuu naomba ifafanue hiyo depersonalization na derealization naona inanisumbua na mimi tokea utotoni, solution yake ni ipi?
 
Sio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.

Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
Chabo
 
Anza kuvuta bange
Piga chabo na nyeto hutojuta
 
Back
Top Bottom