Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,309
- 37,069
Hapa tunaburudika kwa mudaa Ila kampeni ni Ile Ile Ni reforms no ELECTION 😊☺️Dah.. Shem namimi naomba ushauri
Hapa tunaburudika kwa mudaa Ila kampeni ni Ile Ile Ni reforms no ELECTION 😊☺️Dah.. Shem namimi naomba ushauri
🤣🤣🤣🤣 kwani ulikuwa unatuamini?No comment
Mh! kuanzia leo siamini wana jf tena..😂
Kama uko hivyo unaishi ili iweje?.Sio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.
Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
Cc. Walokole na wasabatooooWatu wasio kunywa pombe ni wambea sana
Sio wakiswahili tu tena wakizungu ndio atachanganyikiwa hasa pale atakapo kutana na child support 🤣Maana akiwekeza kwa wanawake watammalizaa abakie kichwa maana wanawake wa KISWAHILI huwezi anzisha mahusiano is equivalent to ajiraaaa🤣🤣
Shindii njoo tuvute🤣🤣🤣shindikanaa Anasapoti bangi sana hajasema anaivuta bwashee , mimi mwenyewe nipo really mno na shindii nikimshawishi atavuta tu bwashee
Apostle NINI KIMETOKEA IN MWAMPOSA VOICE 🤣No comment
Mh! kuanzia leo siamini wana jf tena..😂
🤣🤣🤣 shem nipe hela kwanza.Dah.. Shem namimi naomba ushauri
Duuh.....makushabu! Ndiyo nini?Hizo sio bangi ni makushabu
Shindikanaa tukivuta kwanza chumba kiwe giza then tukae mkao wa meditation 🧘♂️🧘♀️ usipokimbia nakupa 100tzshShindii njoo tuvute🤣🤣🤣
Gugu huko gugoDuuh.....makushabu! Ndiyo nini?
Walokole ni binadamu grade ya mwisho sijapata ona , acha kuwalinganisha na wasabato bwashee 🤔Cc. Walokole na wasabatoooo
Hii comment aisome Raisi wetu wa ma jobless pro max Intelligent businessmanSio wakiswahili tu tena wakizungu ndio atachanganyikiwa hasa pale atakapo kutana na child support 🤣
🏃🏃🏃🏃🏃Walokole ni binadamu grade ya mwisho sijapata ona , acha kuwalinganisha na wasabato bwashee 🤔
Kaka wanawake wa kiafrika bado ni wife material kinyama , nyuzi za Natafuta Ajira nafikiri zinahusu ughaibuni zaidi ya africaHii comment aisome Raisi wetu wa ma jobless pro max Intelligent businessman
Nakala kwa makutupora , Bolotoba
Kaka mafua yamenikamata nikaona nipige zangu vodka hapa🏃🏃🏃🏃🏃
Speed
Field research na sample population za NATAFUTA AJIRA ni from abroadKaka wanawake wa kiafrika bado ni wife material kinyama , nyuzi za Natafuta Ajira nafikiri zinahusu ughaibuni zaidi ya africa
Mimi idd nili piga Sana yaan mwanzo mwisho.Kaka mafua yamenikamata nikaona nipige zangu vodka hapa
Sio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.
Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
Jioni ni masaa mangapi kutoka sasa?Mimi idd nili piga Sana yaan mwanzo mwisho.
Nasubiri jion nipige Tena uzuri Mimi na drink responsible