Sina kilevi, nichagulie

Sina kilevi, nichagulie

Sio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.

Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
jaribu kile roho yako imekutuma kufanya
 
Back
Top Bottom