Sina imani tena na Chadema

Tunawapa warning kuhusu viongoz wetu wa CDM wakipata tatizo tunanyinyi!Itakuwa vita ya Jihad
 
Chadema wananchi wanaitaji kujua mtawafanyia nini sio siasa zenu za matukio.

Chadema wameshasema kuwa watarekebisha mikataba yote ya madini na mikataba ya uwekezaji, na kutokomeza ufisadi ili nchi ifaidike na raslimali zake.
Kwa namna hiyo, hakutakuwa na migomo ya madaktari, walimu, n.k.
Ndio maana unaona sasa wanawindwa ili wauwawe (liwalo na liwe !!!) maana nyie CCM hamtaki hayo yote yatimie.
 
cdm nao kama ccm,viongozi wao c ndio wazee wa changa la macho,wanajifanya hawataki magari ya kifahari kuwazuga watz baadae kimyakimya wanayachukua
 
CHADEMA kutoka chama makini sasa kimefikia chama cha TETESI!

Mimi nazikumbuka sana tetesi zifuatazo:-

(1) "... tutazishughulikia zile rushwa nene-nene ..." - By JK alipokuwa akizindua bunge mwaka 2005.
(2) "... maisha bora kwa kila Mtanzania ..." - By JK.
(3) " ... serikali itachukua hatua, liwalo na liwe ..." - By Pinda.
 
William Mshumbuzi huyu huyu ninayemjua? Mbona wakati unaiamini CHADEMA hukutuambia..sasa kilichokuwasha washa mpaka ujitie ati huiamini Chadema ni nini? ama gamba limenasa?
 
Kati ya mafarasi wewe ni babkubwa. Hivi haya mambo unayoyaongea unafuatilia au unamtuma houseboy wako akafuatilie? Ni mangapi chadema wameyapigania na yakabadilishwa (eg katiba mpya). Ina maana tangu madaktari waogme hujawahi ona chadema wakitoa msimamo wao, bunge huwa unaangalia au kusikilza? Uhai ni kitu cha kwanza mengine unafanya vizuri ukiwa hai. Ungetishiwa wewe maisha yako, mimavi ingekuuma kila dakika lakini ungeshindwa hata kwenda chooni. Acha ufala wako au nenda kaungane na NEPI.
 
CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.

'wanarara'...? lol


 

Hakuna mtu anaepigania haki yako hapo,kila mtu anapigania maslahi yake tu , si Slaa,si Mbowe,si Lipumba,wote wanataka kwenda Ikulu kwa maslahi yao,usisubiri uletewe maisha bora na mwanasiasa hata siku moja,fanya kazi kwa bidii na hakika utapata maisha bora. politics is a dirty game
 

I think unatumia Masaburi katika kufikiri....Siwezi kukulaumu sana.
 
Wangekuwa na dola ungesema hivyo???? Unayosema yako chini ya dola dhaifu
 
Mkataa pema pabaya pamgoja!.
Kama unaikataa kuiamini CHADEMA ambayo umeona ndiyo inaweza kuwatetea (WANYONGE) wakulima na imekuwa ikifanya hivyo, japo haina serikali wala dola unataka kumwamini nani?.
 
Kodi tunalipa za nini?.
 
Mi zilidhani CCM inapambana na matatizo ya wananchi kumbe inapambana na CHADEMA, hapo ndo hatima ya CCM ilipo.
 
wawapiganie mara ngapi watu wenyewe mnaogiganiwa hamueleweki, kila siku mnawangángánia magamba sasa chadema wafanye nini?
 
Hoja dhaifu iliopostiwa na mdhaifu ambae ametumwa na serikali legelege inayoongozwa na raisi dhaifu..
 

politics is not a dirty game. politics is like a weapon depends on who hold that weapon.
 
Kwahiyo una iman na CCMabwePande? Hayo unayotaka yatetewe ni sehem ya wajibu wa serikal yako. Kumbuka uhai wa hao jamaa ni muhim zaid 2015, ndo mana wamelizungumzia hasa baada ya kuanzisha msitu wenu..! Tuma post nyingine ikumbushe serikal yako kuhusu hayo mambo uone kama kuna m2 atakupinga.!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…