Sina imani tena na Chadema

Sina imani tena na Chadema

Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.

CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!

Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.

Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.

Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.

Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.

siasa siasa siasa zinakera. A

Chadema wapiganie bei za pamba na Serikali yako ya ccm inafanya kazi gani?,Chadema kama chama cha upinzani kazi yake ni kuikosoa Serikali iliyo madarakani ili mambo yaende sawa sasa Serikali imeshindwa kujirekebisha na sasa unaona inaondoka madarakani inabidi itumie hila ambazo ni endelevu kuwadhuru watu(viongozi).Safari hii mkituulia kiongozi wa Chadema tutakwenda kulala pale Ikulu-Mali ya Watanzania wote
 
Ile ni NGO ya Mbowe na Mtei wengine wote ni watumishi, wajanja wameanza kufunguka macho, ila wa kuja bado wamekomaaa, siasa ni mchezo msaaaaaaaaafi sana
 
siku mkipata nchi hii majibu mabovu na ubabe vitatawala na kuongezeka
 
haha siasa za maji taka hujalala au nape hajakuita kwenye uzurulaji wake? pole sana kwa upungufu wa mawazoUOTE=zomba;4201544]Huyu ndugu yake Josephine?[/QUOTE]
 
Huku JF tunajua kuna usalama wa Taifa wengi sana na inawezekana na wewe ni mmoja wao so lazima ikuume kwa mambo mliyoyapanga sirini sasa hivi yako hadharani. Na akifa hata mmoja tu kati ya watajwa hapo bac mtafute nchi ya kukimbilia maana hapo ndipo ndipo mtakapoijua maana halisi ya NGUVU ya UMMA.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Afadhali yako ambaye ulikuwa na imani nao, kwangu mimi sina na sijawahi kuwa na imani na chama cha upinzani chochote.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.

Du huna imani na Chama chochote cha upinzani una imani na Chama tawala
Kauli uliyotoa wewe ndio imekufit ndugu yangu
Msiosoma kweli chakula cha...
 
Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.

CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!

Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.

Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.

Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.

Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.

siasa siasa siasa zinakera. A

joka la midimu ww. Tena dhaifu@work
 
We subiri Yesu arudi!.
 
Tatizo lako unasahau haraka watu waliouawa kwa ajili ya kuongelea haki na kutetea wanaodhulumiwa hapa Tanzania. Dr. Ulimboka sio mtu wa kwanza, watu wengi wamekufa kwa kutetea haki hapa Tanzania. Nadhani walichofanya viongozi wa CHADEMA ni sahihi. Mwakyembe alisemasema wakati Fulani, lakini akaapuuzwa lakini amekiona
 
Kijana ukurasa huu ni kwaajili ya kuweka mada zenye mashiko na maslahi kwa taifa na wala sio propaganda. Hivi unajua ulichokiandika? Au ndio unazi ulionao na waliokutuma? Ebu lihurumie taifa kwanza. Then tafuta maada zenye mashiko uweke ili watu tuweze kuchangia kwa maslahi ya taifa na sio kutuletea propaganda. Hivi wewe ni mtanzania kweli? Ni chama gani kisichpewa misaada? Fanya utafiti kabla ya kubwabwaja.
 
mi sion haja ya mtu kuanzisha tred kama mawazo yako ni mgando kiasi hichi..si lazma uandike..ni bora ukae kimya ufiche upuuzi wako. sikuwahi kufikir bado kuna watanzania wenye mawazo finyu kama wewe
 
[h=2]kikwete ni mnafiki no 1[/h]
Tangu tupate maraisi hatujawahi kuwa na rais mnafiki, mzembe,dhaifu na ndumila kuwili kama kikwete uendeshaji serikali yake umejaa fitina dhihaka na upuuzi mwingi anyemshabikia huyu naomba aweke haya maelezo kwa kuprint au kucopy na baa ya 2015 mtaona kwa nini tz imefika hapa ilipo ni sababu ya huyu mr dhaifu hakuna alichowahi kuongoza kikafanikiwa zaidi ya kutengeneza makundi ndani ya chama na nchini ili awe madarakani kirahisi mungu ibariki tanzania kwa haraka sana tuondokane na huyu mnafiki

BO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!

Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.

Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.

Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.

Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.

siasa siasa siasa zinakera. A[/QUOTE]
 
Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.

CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!

Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.

Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.

Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.

Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.

siasa siasa siasa zinakera. A
pamoja na kutokuwa kwako na imani na chadema, huwezi kujitoa kwenye chama hicho kwa kua haukuwa mwana chama, therefore hauna madhara kwani hata kura ya diwani hukuwahi kupiga, wasalimie huko mabwepande kwenu msituni
 
kweli malalamiko yanazidi miaka tangu UCHAGUZI hadi leo ni miaka 2 kampeni zinaendelea Nchi nzima sasa tumebakiza miaka 3 migomo mfululizo itaibuliwa kwani hakuna Jambo lingine la kuijenga nchi hii?
 
Back
Top Bottom