Sina hamu ya kuolewa

Sina hamu ya kuolewa

Ndoa nyingi sana hazina raha, we waone wanandoa wanavyocheka nje, ila ndani kunawaka.
 
Kuolewa hutaki ila kuvua chupi unataka haya ni nani atakayekubali akuzalishe na mtoto aishi kama yatima?

Hoetsly nisingekushauli ufanye maamuzi kwa kuangalia kwa jirani ebu jaribu kujifunza kupitia kwa jitrani na rekebisha yale uliyoyaana kwa jirani ambaypo kwa namna moja ama nyingine ndiyo iliyopelekea wahusika wafikie maamuzi hayo.
 
Huyo nae ni kiazi kuliko hata KIAZI chenyewe. Mbona kila siku watu wanafirisika katika biashara zao Lakini ndio kwanza wengine wanajiunga kufanya hizo biashara.
 
"Anything that's worth having, is worth fighting for""

hamna kitu kirahisi hapa duniani. Ndivyo maisha yalivyoo iwe ndoa, iwe masomo, iwe kutafuta pesa,
Kama unaamini ni mpangoo wa Mungu uwe na mume maishani mwako si vyema kukimbia kwa sababu ya ugumu. Ni kujiweka karibu na. Mungu akuoongooze kama utaolewa. Ndiyo kuna ndooa zimevunjika lakini pia zipo zilizoodumu, suala na jinsi wewe na mwenza wako mtapoojiweka karibu na Mungu na kujifunza jinsi ya kutunza ndoa yenu
 
Mimi siungi mkono kwamba usiolewe hapana, utampata wa kukuoa tena mtu mzuri na utafurahia ndoa yako. Pia usiseme ni dada mmoja wa saloon, sema ni mawazo yako hayo ila achana na huyo shetani. Kwa mwanamke au mwanaume kuwa na ndoa na familia na mkaendana vema inaleta heshima sana katika jamii, ila hata Uwe mwanamke tajiri kiasi gani au hata umiliki hii dunia yote bila kuwa na mume au ndoa bado unaonekana kama ma.la.ya fulani hivi au kahaba....hata jamii haikuelewi....mfano mzuri ni mbunge wa viti maalumu Vicky kamata...nadhani uliona alivyotaka kumuoa Yule kijana mume wa mwanamke mwenzake...ndoa tamu..asikuambie mtu!
 
Ndoa za mastaa wa injili huwa hazidumu...na hii ni kwa sababu ya ulimbukeni wao hasa wanawake...mfano mzuri..ni Rose Mahenge, mwingine ni Bahati Bukuku, mwingine ni Neema Mushi...alipigwa chini akabadili jina kujiita neema mwaipopo.., mwingine ndo huyo Flora Mbasha, bila kumsahau Rose Muhando......yaani waimbaji wa Injili wa kike ni sheeeedah wakishajua wapo juu na kukata viuno jukwaani na kuona wanashangiliwa wanaona dunia yote ni yao....leo hii wanatamani ndoa lakini ndo hivyo zishaoota mbawaa..!
2Q==
 
Hivi jamani tuambiane ukweli UZURI WOTE ULE WA BAHATI BUKUKU na zile nyimbo zake za kumsifu Mungu na kuzungumzia mambo ya ndoa na jinsi anavyoigizaga ktk nyimbo zake hadi kutoa machozi.....yeye kwanini ndoa ilimshinda? achene ujeuri waimbaji wa injili na achene dhihaka kwa Mungu.....yaani nyie watu sio kioo cha jamii kabisa! There is no correlation between your actions and what your singing to your fans....ndio maana siku hizi nasema miziki ya injili ni biashara tu! You cant imagine Rose Mahenge leo kurudi ktk u bachelor...ni sheeedah
 
wewe ni sawasawa na sungura aliyesema sizitaki mbichi hizi, kumbe hakuweza kuzipata.........
 
wewe ni sawasawa na Sungura "sizitaki mbichi hizi" kumbe hakuweza kuzipata ......
 
Ndoa ni kama shule,uwezi kuacha kusoma kisa kuna mtu kapata division five.
Muhimu ni kuelewana na mwenzako nini ambacho mnapaswa kufanya basi.
 
wewe ni kama Sungura "sizitaki mbichi hizi" kumbe hakuweza kuzipata
 
Story za mkosaji hizo, yeye ndoa anaona ngumu wakati hata hajaonja ndoa, anaangalia akina jide aoni wameisha anza kutafuta ndoa mpya, ndoa zingekuwa mbaya Dida angekuwa anaolewa kila siku?????? ndoa tamu sana hasa umpate mtu sahihi.
 
Back
Top Bottom