Niliposema tupeane muda ili kufahamiana lengo kuu ni kufahamaniana khitilafu ama mapungufu yetu...
Narudia kamagetac, lengo ni kwamba TUFAHAMIANE na sio kwamba wewe mwanamke UMFAHAMU mwanaume! Tatizo ni kwamba katika hiki kipindi cha kufahamiana,wengi wao hususani wanawake wanaficha their true identity kumbe katika kipindi hicho unatakiwa kuishi wewe kama wewe! Ikiwa una tabia ya kupika na kurundika mivyombo michafu fanya hivyo hivyo hadi kwangu ili uone reactions zangu kwa mambo kama hayo! A real dude like NasDaz (lazima nijipe promo labda unaweza kuamua kuja kusikilizia kwangu, lol!!) hawezi kukukaripia lakini atakuelekeza! Lakini ukiigiza, na kuanza kuosha vyombo mara baada ya kula chakula halafu baada ya ndoa unarudisha ile tabia yako ya asili (ya kurundika vyombo) hapo ndipo utakapokuja kumuona NasDaz huyu ni tofauti na yule uliyekuwa umemzoea kabla lakini unasahau kwamba hapo nyuma hukuwahi kurundika mivyombo michafu!
Ikiwa wewe ni bibi chaumbeya, endeleza umbeya wako wakati upo kwenye induction period ili uone reaction zangu dhdi ya tabia za umbeya... Mifano ipo mingi, itoshe tu kusema kwamba, katika kutafuta ndoa, wanawake wengi wanaficha hizi tabia zao za asili na kuanza kuonekana baada ya kufunga ndoa na hapo ndipo tatizo linapoanza! Lakini ikiwa zile tabia zako za asili ulizificha wakati wa uchumba na bado ukaendelea kuzificha na kufanya jitihada za kuachana nazo kabisa hata baada ya ndoa, then kuna uwezekano mkubwa wa kuishi kwa amani... na hata kama itatokea mikwaruzano basi ni ile ya kawaida ambayo mtu hukutana nayo hata akiishi na mama ake mzazi!!
Ndio anae ila anaogopa kuolewaNinamashaka kidogo ushawai kuwa na hata bwana.
Kulikoni kamagetac, promo yangu inakuogopesha, au? Lakini co promo bahana, mie ndo nilivyo hivyo so am not those products with warning "Don't Try This At Home"!!!Kuficha makucha ndio tatizo haswa,inabidi wanawake tubadilike na tujikubali,asante kwa ushauri wako ila NasDaz promo yako mmmmh
Nimekuwa nikisikia na kushuhudia wanandoa wengi wanavyo ishi majirani,ndugu na marafiki huku kukiwa na mikiki mikiki kati yao,ila kilicho nivunja moyo zaidi ni ndoa ya Mbasha sikutegemea wala kudhani kuwa wangefikia hatua hii ya sasa na pale walipokuwa wakihubiri heshima ya ndoa kupitia nyimbo zao.
Ndoa ya Gadna na Jaydee pia ilikuwa kivutio kwangu lakini kumbe sivyo nilivyokuwa nikifikiri,kutokana na yale ninayoyasoma kwenye mitandao na magazeti.
Ama kwa hakika maisha ya ndoa kumbe ni magumu,sina hamu ya kuolewa na wala sihitaji kuolewa,nitatafuta bwana wa kunipa ujauzito tu basi.Dada mmoja aliongea maneno haya akiwa saluni na mashost wake.
Wewe unamtazamo gani aendelee na msimamo wake au abadili msimamo wake.
Wengi hawataki kukubaliana,ila ndio ukweli wenyewe. Zipo ndoa chache sana zina amani. Ila nyingi wanavumiliana tu kwa ajili ya watoto.
Bado umri unaruhusu i guess. Itafika time 30+ utatamani hata uolewe ndotoni tu kukamilisha ndoto yako ya kuolewa.
Kwa sasa endelea kudengua dengua.[/QUOd
30+ atatamani hata aolewe ndotoni? Nina 30+ na sijapata hii tamaa? Am I abnormal?
Nimekuwa nikisikia na kushuhudia wanandoa wengi wanavyo ishi majirani,ndugu na marafiki huku kukiwa na mikiki mikiki kati yao,ila kilicho nivunja moyo zaidi ni ndoa ya Mbasha sikutegemea wala kudhani kuwa wangefikia hatua hii ya sasa na pale walipokuwa wakihubiri heshima ya ndoa kupitia nyimbo zao.
Ndoa ya Gadna na Jaydee pia ilikuwa kivutio kwangu lakini kumbe sivyo nilivyokuwa nikifikiri,kutokana na yale ninayoyasoma kwenye mitandao na magazeti.
Ama kwa hakika maisha ya ndoa kumbe ni magumu,sina hamu ya kuolewa na wala sihitaji kuolewa,nitatafuta bwana wa kunipa ujauzito tu basi.Dada mmoja aliongea maneno haya akiwa saluni na mashost wake.
Wewe unamtazamo gani aendelee na msimamo wake au abadili msimamo wake.
Huyu co hataki kuolewa ila ameogopa yanayowasibu wanandoa ambao ni ukweli mtupu kila leo ambae hajaolewa asikie vurugu unadhani atapata moyo zaidi yakukata tamaa mpk ndo zinapewa vifurushi vya wiki nk ni htr ht walio ktk ndoa ukiuliza wengi wanavumilia bora kukuche au kwa ajili ya watoto hakuna amani tena mungu tupe subra
Ndoa ya wazazi wake hajailezeaVipi kwa upande wa ndoa ya wazazi wako?