Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Ndoa ya wazazi wake hajailezea
Atueleze sasa tujue.
Ndoa ya wazazi wake hajailezea
Atueleze sasa tujue.
Hajapata wa kumuoa
sawa kamagetac.Mpaka nionane nae
Una shida kweli. Unatazama ndoa za public?Nimekuwa nikisikia na kushuhudia wanandoa wengi wanavyo ishi majirani,ndugu na marafiki huku kukiwa na mikiki mikiki kati yao,ila kilicho nivunja moyo zaidi ni ndoa ya Mbasha sikutegemea wala kudhani kuwa wangefikia hatua hii ya sasa na pale walipokuwa wakihubiri heshima ya ndoa kupitia nyimbo zao.
Ndoa ya Gadna na Jaydee pia ilikuwa kivutio kwangu lakini kumbe sivyo nilivyokuwa nikifikiri,kutokana na yale ninayoyasoma kwenye mitandao na magazeti.
Ama kwa hakika maisha ya ndoa kumbe ni magumu,sina hamu ya kuolewa na wala sihitaji kuolewa,nitatafuta bwana wa kunipa ujauzito tu basi.Dada mmoja aliongea maneno haya akiwa saluni na mashost wake.
Wewe unamtazamo gani aendelee na msimamo wake au abadili msimamo wake.
Bado umri unaruhusu i guess. Itafika time 30+ utatamani hata uolewe ndotoni tu kukamilisha ndoto yako ya kuolewa.
Kwa sasa endelea kudengua dengua.[/QUOd
30+ atatamani hata aolewe ndotoni? Nina 30+ na sijapata hii tamaa? Am I abnormal?
Wanawake wa mjini ndo maneno yenu
Una shida kweli. Unatazama ndoa za public?
Nimekuwa nikisikia na kushuhudia wanandoa wengi wanavyo ishi majirani,ndugu na marafiki huku kukiwa na mikiki mikiki kati yao,ila kilicho nivunja moyo zaidi ni ndoa ya Mbasha sikutegemea wala kudhani kuwa wangefikia hatua hii ya sasa na pale walipokuwa wakihubiri heshima ya ndoa kupitia nyimbo zao.
Ndoa ya Gadna na Jaydee pia ilikuwa kivutio kwangu lakini kumbe sivyo nilivyokuwa nikifikiri,kutokana na yale ninayoyasoma kwenye mitandao na magazeti.
Ama kwa hakika maisha ya ndoa kumbe ni magumu,sina hamu ya kuolewa na wala sihitaji kuolewa,nitatafuta bwana wa kunipa ujauzito tu basi.Dada mmoja aliongea maneno haya akiwa saluni na mashost wake.
Wewe unamtazamo gani aendelee na msimamo wake au abadili msimamo wake.
Wewe una mtazamo gani??
Usijali kabisa mbegu zetu huwa haziuzwi utapatiwa bure kabisa
Hapana ila kwa mtizamo wake alikuwa anazipenda sana,na zingine za wanaomzunguka ndio zinamchanganya kabisakwa hiyo ndoa zooote ameona ujifunze kwa ya kina gadna na the mbashaz tu??