MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
aiseeeee
Last edited by a moderator:
Huu msemo una kaukweli ndani yake ila wengi hawataki kukubaliana nao
kamagetac,
Get time to know each other and am telling you, hiyo mikiki mikiki hamtaiona... itakuwepo ile tu ya kawaida ambayo, kwa watu wanaoishi pamoja haiwezi kuzuilika... tena inakuwa ni mikiki mikiki ambayo sometimes inageuka kuwa the funny thing kati yenu!
The problem watu hawapeani muda...! Unakuta jamaa anakutana na mrembo kwa kuona cjui ndo mzuri sana anatangaza ndoa ili eti wasije wakamwahi wajanja utafikiri demu mwenyewe kamuopolea kliniki wakati anazaliwa!!! Yaani mwanamke ana 20+ or probably 30+ huko kote wasimuwahi waje kumuwahi kv amekutana na wewe... STUPID!
Wadada nao, kuna wengine wana masharti ya kipuuzi kabisa! Umekutana nae siku mbili tatu, mara oh kajitambulishe nyumbani... wewe?! Nilikutana na mmoja wa aina hii.... Halafu kuna wengine ndo wapuuzi kabisa... hawa wanajifanya ni wana maadili sana kumbe nao ni vicheche tu! unakuta wanakubania vijimambo ili kukushinikiza utangaze nia.
Unakuta couple zingine mara nyingi kama sio zote zinakutana hotelini au guest house...! Hapa hata kama mnaishi kama wapenzi kwa miaka kisha mkafunga ndoa bado hesabuni hamfahamiani! Mwanamke huwezi kumfahamu mwanaume vizuri bila kwenda kuishi nae kwake angalau kwa muda! Tena kuishi kwenyewe sio kule kwa kwenda weekend peke yake kwani hiyo haina tofauti na kukutana nae hotelini au guest!
Wengi hawataki kukubaliana,ila ndio ukweli wenyewe. Zipo ndoa chache sana zina amani. Ila nyingi wanavumiliana tu kwa ajili ya watoto.
hata mimi sina hamu ya kuoa basi njoo nikupe mimba tuuuuu
kimtazamo ndoa ni maamuzi ya mioyo miwili kushaibiana na kuchukuliana ,, sasa muache kuingia kwenye ndoa kwa external factor kama internally your okey ingia ila kama gari nyumba sijui pesa ndiyo zinakupeleka lazima kutawaka tu.......... JAPO MI PESA NDIYO :smile-big:
Na joto lote hili...ha ha ha...Labda anaogopa kulala bila chupi!....
kwa watoto kuna tofauti ...maana once upon a time nao waliishi kifamilia...at leats wanajua hata taste yake...Kuna ndoa moja wamegawana vyumba,mume analala kivyake na mke kivyake yaani kila mmoja hataki kuondoka sababu kuu ni nyumba wamejenga
kamagetac,
Get time to know each other and am telling you, hiyo mikiki mikiki hamtaiona... itakuwepo ile tu ya kawaida ambayo, kwa watu wanaoishi pamoja haiwezi kuzuilika... tena inakuwa ni mikiki mikiki ambayo sometimes inageuka kuwa the funny thing kati yenu!
The problem watu hawapeani muda...! Unakuta jamaa anakutana na mrembo kwa kuona cjui ndo mzuri sana anatangaza ndoa ili eti wasije wakamwahi wajanja utafikiri demu mwenyewe kamuopolea kliniki wakati anazaliwa!!! Yaani mwanamke ana 20+ or probably 30+ huko kote wasimuwahi waje kumuwahi kv amekutana na wewe... STUPID!
Wadada nao, kuna wengine wana masharti ya kipuuzi kabisa! Umekutana nae siku mbili tatu, mara oh kajitambulishe nyumbani... wewe?! Nilikutana na mmoja wa aina hii.... Halafu kuna wengine ndo wapuuzi kabisa... hawa wanajifanya ni wana maadili sana kumbe nao ni vicheche tu! unakuta wanakubania vijimambo ili kukushinikiza utangaze nia.
Unakuta couple zingine mara nyingi kama sio zote zinakutana hotelini au guest house...! Hapa hata kama mnaishi kama wapenzi kwa miaka kisha mkafunga ndoa bado hesabuni hamfahamiani! Mwanamke huwezi kumfahamu mwanaume vizuri bila kwenda kuishi nae kwake angalau kwa muda! Tena kuishi kwenyewe sio kule kwa kwenda weekend peke yake kwani hiyo haina tofauti na kukutana nae hotelini au guest!
Na joto lote hili...ha ha ha...
Niliposema tupeane muda ili kufahamiana lengo kuu ni kufahamaniana khitilafu ama mapungufu yetu...Umeongea vizuri NasDaz hofu tu ni kwamba mnaweza ishi pamoja kabla ya kuoana then ndoa ikafuata,sasa maisha ya ndoa ndio yanaanza halafu ulichokuwa unakitegemea unakuta sio,matokeo yake ndio kama ndoa za hao wanao talikiana
Na kwa nyongeza tu, nimemjuza bi shost kamagetac kwamba anapokuja kuishi na mimi aishi yeye kama yeye... the real kamagetac wa nyumbani kwao! Tatizo wanawake wengi hata wanapoishi na mwanaume kabla ya ndoa, hususani wale ambao wanaishi kwa muda mfupi, huwa wanaficha tabia zao! Unakuta tabia yake ni kulala bila kuoga lakini kv amekuja kwako anajilazimisha kuoga kabla ya kulala ili kubembeleza ndoa... sasa katika mazingira kama haya huwezi kufahamu reaction ya mwanaume ipo vipi dhidi ya mtu anayelala bila kuoga!!! Sasa pale anapokuja kurudisha tabia yake ya kulala bila kuoga wakati yupo ndani ya ndoa, ndipo inapokuja kuonekana reaction ya mwanaume dhidi ya mtu anayelala kabla ya kuoga na hapo mwanamke anaona mwanaume amebadilika huku akisahau kwamba kwamba ni yeye mwenyewe ndie alikuwa anaishi maisha ya kuigiza na sasa anapoisha maisha yake halisi ndipo tatizo linaanza!!Kula like 1000 umeongea ukweli ndoa z kukurupuka huwa hazidumu mtu anaweza kuficha tabia hata miaka 2 bt ukikaa nae ndio utaweza kumjua tabia au yeye kukujua tabia,chukulia maisha y dar mnaonana wkend 2 tena cz mko busy n maisha hpo utawezaje kumjua mtu.ngoja niongeza 2yrz itimie 5 ndio nimuoe yani shake well b4 use