Sina hamu ya kuolewa

Sina hamu ya kuolewa

kamagetac

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
2,479
Reaction score
644
Nimekuwa nikisikia na kushuhudia wanandoa wengi wanavyo ishi majirani,ndugu na marafiki huku kukiwa na mikiki mikiki kati yao,ila kilicho nivunja moyo zaidi ni ndoa ya Mbasha sikutegemea wala kudhani kuwa wangefikia hatua hii ya sasa na pale walipokuwa wakihubiri heshima ya ndoa kupitia nyimbo zao.

Ndoa ya Gadna na Jaydee pia ilikuwa kivutio kwangu lakini kumbe sivyo nilivyokuwa nikifikiri,kutokana na yale ninayoyasoma kwenye mitandao na magazeti.

Ama kwa hakika maisha ya ndoa kumbe ni magumu,sina hamu ya kuolewa na wala sihitaji kuolewa,nitatafuta bwana wa kunipa ujauzito tu basi.Dada mmoja aliongea maneno haya akiwa saluni na mashost wake.

Wewe unamtazamo gani aendelee na msimamo wake au abadili msimamo wake.
 
Shosti kwanza niseme hujapenda kweli,sababau ukipenda utataka yule mwenzio mume nyote maishani,kwani unadhani hao unaowataja wangekua wanajua mbele itakua hivi unadhani kuna hata mmoja kati yao angekubali?

Hizo story za Saloon wachie wenyewe saloon,ivi uko tayari kuzaa bila ndoa wakati unaweza kuzaa mtoto ndani ya ndoa na ukaheshimika kua mke wa fulani au bora kuzaa nje ya ndoa ukabaki kumpa mtoto wako tabu yakuambiwa mwanaharamu utamjua tuu fikiri tena.
 
kimtazamo ndoa ni maamuzi ya mioyo miwili kushaibiana na kuchukuliana ,, sasa muache kuingia kwenye ndoa kwa external factor kama internally your okey ingia ila kama gari nyumba sijui pesa ndiyo zinakupeleka lazima kutawaka tu.......... JAPO MI PESA NDIYO :smile-big:
 
Mpwa unaongelea mambo ya kulala bila chupi wanisisimua viungo vya mwili ati.


he he he mwili unasisimka umelaa naked. pemben kuna mtalimbo upo wazi unapumua.. yaani wako wa muda wote huo. ukiamua unaubusu, ukiwashwa kidogo tu unamsha muusika akukune..

tena sio kwa kuibia ibia, ruksa kwa baraka za wazee hadi Muumba

why viungo visisimke
 
Kwa waoaji, ndoa siyo tamthilia afikiri tune ni ile ile. Mbona wengine tupo ndoani kitambo na tunainjoi. Kila mara unaambiwa 'nina bahati kuwa na wewe'.
Kwako kumejaa rejea kwenye red hapo
 
Bado umri unaruhusu i guess. Itafika time 30+ utatamani hata uolewe ndotoni tu kukamilisha ndoto yako ya kuolewa.
Kwa sasa endelea kudengua dengua.
 
Kila mtu anaitwa kwa jina lake! mambo ya Kaisali mwachie mwenyewe na ya Yesu mpelekee Yesu mwenyewe Ya Gadna na akina Mbasha hayamuusu kabisaaa, Kama hajapata wa kumwambia naitaji uwe mke wangu wa ndoa anyamaze.Sio kuchukua ya wenzie yakawa yake. Wengine ndoa ni Paradiso ndogo raha tupu.
 
Ndoa zipo nyingi sana sasa kama unachukua ndoa 2 ndo kigezo unaacha mifano ya ndoa zote nzuri we utakuwa na matatizo
Ameona ndoa nyingi kama za ndugu,majirani na marafiki ila hizo mbili nafikiri ndio zimemshangaza zaidi
 
Back
Top Bottom