Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Na je utakaa eneo lina fursa zipi , ajira za kueleweka , huduma muhimu au unakaa ilimradi umejaa😅😅
Mi nikae tuu kuhusu huduma kuna huduma takua natoa...

Ambayo na uhakika ntakua napata pesa ya kujikimu kabisa kuweza kula na kupata other basic need mkuu.
 
Wakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.

Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.

Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.

Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.

Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.

Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.

Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.

Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....

Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.

Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
#twendezetukijijini Jumlisha
Mkuu ukiwa na pesa tu yote yanawezekana.
 
Njoo jiji la Mbeya, ni kama mjini na kijijini at the same time na hakuna joto
Foleni inaenda kuisha soon, kwa sababu wanapanua barabara kuu na ndio barabara pekee yenye foleni, na foleni sio kubwa sana

Ila huku misitu, milima, chemchemi vyote vipo ndani ya jiji kwa hiyo Nature ipo karibu sana, na gharama za maisha zipo chini
PXL_20260303_100224488.MP.jpg

PXL_20260303_084648669.jpg
PXL_20260301_152400060.jpg
PXL_20260226_113813085.jpg
PXL_20260226_113518486.jpg
PXL_20260223_111426809.MP.jpg
PXL_20260218_090658834.jpg
PXL_20260218_083736517.jpg
PXL_20260217_103101476.jpg
PXL_20260214_092202954.jpg
 
Basi subiri ye atangilieko kwanza AKISHA setlle WALAU MWAKA mmoja NENDA kapacheki ALAFU utajiongeza ila KULE AMANI, HATA matukio ya OKTOBA 29 hayakufika huko
Mkuuu naenda huko kabisa mjini sipawezi mimi aiseeee..
Sema maji maji maji daaah mkuu we maji huogopi
 
Mimi imefikia hatua jinsi ninavyomtizama Mungu ni tofauti kabisa na kundi kubwa la watu!!

Naweza omba kitu kikawa hapohapo au kesho yake tu.... yani zile mambo ambazo huwa zinasomwa kwenye vitabu bro✍️

Ukipata chance kidogo usiwaze mara mbili
Mkuu kweli kabisa maisha ya mjini yamefanya niwe na imani dhaifu sana...

Just imagine hapa nilipo mara ya mwisho kwenda msikitini ile seriously na kulia kwa Mungu wangu skumbuki kabisa
 
Mchawi pesa tu ndugu. Kama umeshasettle vizuri financially (sio hela nyingi kwa account ila mfumo wa hela uliposimama vizuri)

Ukifikia hapo, wala usimuulize mtu yeyote, tafuta Kijiji chochote Tz chenye uhakikq wa maji na barabara, ikiwezekana karibu na mito isiyokauka, ukimudu tafuta heka zako 5 (hata nusu heka) hata nusu heka weka Kibanda chako classic (sio mambo mengi ila modern) Anza Maisha upya hapo.

Yaani ni kwamba, Ukihisi uko poa kiuchumi huna haja ya kuomba ushauri. Chomokq tu! Usiwaze chochote, sijui shule watoto, sijui baa, sijui nini na nini, nyanyuka tu.
Mkuu na wewe kumbe kama mimi an nime imagine tayari hiyo life uwezi amini an daaah aiseeee
 
Moja ya Siri ya Kijiji Bora, ni pale kile utakachokuta migomba inamea vizuri sambamba na minazi. Kijiji Cha namna hiyo hawajawahi kutwa na njaa, kwa mazao mengi sana yatakuwa yanamea hapo, uchumi wa eneo hilo huwa umesettle sana.
Daaah mkuu huko ni moshi au tukuyu mbea aiseeee
 
Back
Top Bottom